Tupeane elimu kuhusu Uvaaji miwani

Mi natafuta miwani ya jua. ya kiume. style ya aviator. Iwe na 100% UVA&UVB protection maana naona jua linaniletea mushkeli hadi niweke kacap na mkono ndiyo naona fresh. Size isizidi 55mm.
- Nimepitia AMAZON na EBAY

- Bei ya hii miwani ni kati ya USD 16 hadi 25

- Wauzaji wengi hawatumia Tanzania (africa)

- Kwa ambao wanatuma Tanznaia, Freight cost ni kati ya USD 22 hadi 33
upload_2018-6-3_14-55-56.png

Hivyo ni changamoto kupata hii miwani kwa USD20, kwa kuiagiza.

Reference:
 
- Nimepitia AMAZON na EBAY

- Bei ya hii miwani ni kati ya USD 16 hadi 25

- Wauzaji wengi hawatumia Tanzania (africa)

- Kwa ambao wanatuma Tanznaia, Freight cost ni kati ya USD 22 hadi 33
View attachment 793031
Hivyo ni changamoto kupata hii miwani kwa USD20, kwa kuiagiza.

Reference:
Mfano kwenye link ya amazon hapo juu nimeona hayo pro acme meusi wameandika 9.9 na duduma 12.9. hadi niyapate mchanganuo mzima unakuwaje?
 
Mfano kwenye link ya amazon hapo juu nimeona hayo pro acme meusi wameandika 9.9 na duduma 12.9. hadi niyapate mchanganuo mzima unakuwaje?
Pro acme = 9.9 + 22 =US $31.9

Duduma = 12.9 + 22 = US $34.9

Muda:
Ndani ya siku 7 - 14

Njia ya malipo: Mobile Banking
 
Jama ee, mi naombeni miwani ya kunilinda dhidi ya mwanga wa simu au computer. Ntawashukuruni.
 
Cjui chochote kuhusu miwani, wala cjawai kavaa

Ila hii ya huddah nimeipenda kwakwel, nataman kuwa nayo

Yenyewe Naic inavaliwa muda wowote
Sidhani Mkuu,
Wakati wa kulala itakua inavuliwa tu, no way.
 
Kuvaa miwani bila idhini ya daktari wa macho ni hatari kwa afya yako.
Hata kama unataka miwani ya fasheni, ni lazima upimwe macho ili uvae miwani yenye lensi isiyodhulu macho yako.
 
Back
Top Bottom