Tupeane dondoo kuhusu online business - Sehemu ya kwanza

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,440
2,692
Na Mr. Purpose.

Nimekuwa nikifanya online business kuanzia mwaka 2018, ambapo nakumbuka nilikuwa nafanya application za vyuo, mkopo na usajili wa makampuni kupitia BRELA.

Huduma hizo nilianza nazo na nilikuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja popote walipo Tanzania.

Haikuwa rahisi mwanzoni kwani ilibidi kutumia nguvu kubwa hasa katika kutafuta wateja kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook ambayo ndiyo niliyotumia sana kuliko hizi platforms zingine kama whatsapp, instagram, twitter, LinkedIn pamoja na platform ya Jamii Forum.

Kuna changamoto nyingi ambazo nilikutana nazo mpaka kufikia hatua ya kupata wateja wa uhakika na wa kuaminiana.

Niseme tu kiukweli haikuwa rahisi hata kidogo hasa ukilinganisha na asilimia kubwa ya Watanzania kutokuielewa online business na kuamini pia kama ni kweli unaweza hudumiwa na kila kitu kikawa sawa.

CORONA ILIVYOSAIDIA KUKUZA ASILIMIA KUBWA ZA ONLINE BUSINESSES.

Baada ya msoto wote huo, kiukweli Corona, janga lililotikisa Dunia imeleta matokeo chanya kwetu sisi tuliokuwa tukifanya online business na mabadiliko makubwa tuliyaona ndani ya miezi michache ya uwepo wa Corona.

Hapo ndipo nilipopata idea ya kuanza kusambaza study materials

Niseme ukweli usamabazaji wa softcopy za hayo materials yalikuwa na mapinduzi makubwa sana na matokeo yalikuwa makubwa siyo siri (mpaka sasa).

KWANINI NIMEKUANDIKIA??

Wewe mfanya biashara ambaye unayo biashara yako, una frame security fulani ila biashara yako haipo online, aisee, UNAKOSEA SANA.

Kwanini unakosea??

Wateja wamehama mzee, kwasasa wapo Facebook, Whatsapp, Twitter, Instagram, yaani namaanisha, wapo mitandaoni, hasa hii mitandao ya kijamii.

Ebu fikiria kampuni kubwa zote kwasasa zinakuelekeza kuwasiliana nao kupitia mitandao ya kijamii kama whatsapp, instagram na Facebook. Nakupa mfano wa kampuni ya Vodacom, kwasasa huduma kwa wateja ukitaka kuongea nao ni mpaka instagram, Facebook au Whatsapp moja kwa moja.

Wao wanachokifanya wanakuwekea link tu na inakupeleka moja kwa moja hadi inbox yao, MA wanakujibu kwa wakati.

Unadhani kwanini wamehamia huko?

Kwasababu ulimwengu unabadilika hivyo lazima nao pia wabadilike kuendana na hali.

Mfanya biashara unamiliki kampuni au biashara ya kawaida halafu hata blog au pages kwenye mitandao ya kijamii biashara yako haipo, unasubiria wateja hapohapo ulipo , shtuka mzee utashangaa mwenzio anaongeza vitu tu na wateja wanajaa kwake uelewi wametoka wapi.

Kwa leo ngoja niishie hapa ila kumbuka wewe unayefanya biashara jinsi ambavyo miaka mitano huko nyuma ilikuwa ikifanyika mzee utaachwa na utashangaa mauzo yanashuka.

Baadhi y wasanii wa muziki nao wameshtuka wameanza kuuza Album zao kupitia mitandao ya kijamii, Nikki Mbishi kwa wale wanaomfahamu kazi zake ukihitaji ni mpaka kumfuatilia instagram nakumbuka interview yake aliyoifanya Clouds FM, jamaa ana madini sana na ndipo nikakugundua kumbe kuna wasanii ambao wapo vizuri kabisa upstairs.

Wapo wengi ambao kwasasa mtandao umekuwa ni sehemu kubwa ya kuwaingizia kipato kuliko hata jinsi ambavyo ofisi halisi zinaingiza.

Dada, Mama, Kaka, Baba na wote wengine kuna baadhi ya vitu havikuwepo Tanzania, ila tunakoelekea vinaenda kutawala, kuwa na jicho kuitazama fursa, usisubiri anza leo.

Mwisho, wale waalimu mnaofundisha online business halafu hata biashara ya online hamna hata moja, acheni kutoa vitu nadharia. Speak from your own experience (nitawaletea makala pia kuhusu hawa watu)

Pia kama utahitaji kutazama zaidi na kunifuatilia zaidi,

Bonyeza link hii

Karibu kwa ushauri kuhusu lolote NATOA BURE KABISA.

Muwe na asubuhi njema.

TUKUTANE SEHEMU YA PILI.............. .

Share na wengine pia.
 
Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
Congrats boss.. Waiting for part two.
 
Huu msemo kuna watu utawadumaza sana na sio kweli kwamba kila anayekuita kwenye fursa wewe ni fursa.

Akili za kuambiwa.....
Upo sahihi mkuu. Wengi muda wa kufikiria jambo kwa kina hawawezi hivyo kuishia kuchukulia mambo juujuu tu.
 
Huu uzi hauna wachangiaji kwa kuwa hauzungumzii NGONO, watanzania wengi wanawaza ngono badala ya mambo ya maendeleo kama haya.
 
JIFUNZE KUWA NA MOYO WA USTAHIMILIVU KATIKA UTAFUTAJI.

Kutaka kuona matokeo ya haraka katika biashara au chochote unachokifanya wakati mwingine inaweza changia katika kukukatisha tamaa.

Unapoliendea jembo na kuanza kulitekeleza ondoa hamasa ya kutaka kuona matokeo mapema hii itakusaidia wewe ku-focus katika kile unachokifanya..

Ngoja nikupe mfano halisi...

Nilianza kufanya biashara mtandaoni mwaka 2018 ila sikuwa na uelewa mkubwa sana kuhusu jinsi biashara inavyofanywa mtandaoni na kupata matokeo hivyo niliingia nikidhani ni jambo jepesi na la kawaida...

Baada ya miezi miwili matokeo sikuyaona kama nilivyodhania ndipo hapo nilipoamua kutafuta kujua inakuaje kuna watu wanapiga business online na wanatoboa halafu mimi nashindwa, kwani wapi nakosea??

Kwa vile napenda sana Kusoma vitabu ilibidi kuingia Google kutafuta vitabu vinavyohusu masuala ya biashara mtandaoni na nilikutana na vitabu na makala nyingi sana mpaka nikaona kwa hali hii mbona hii kazi itakuwa ngumu sana?

Nikaona isiwe kesi nikaingia kusoma makala fupi fupi kwenye blogs tofautitofauti mtandaoni na ndipo kupata jibu la swali langu..

Kiujumla sikuwa na uelewa wa mambo kuhusu Digital Marketing na ndipo nilipoanza kujifunza rasmi.

Niseme tu ilinilazimu kuwa mpole na kutokuwa na haraka katika kupata matokeo maana niliyokutana nayo katika kujifunza digital Marketing yalikuwa mengi na muhimu ili kufanikisha lengo langu, hivyo niliendelea kupiga kazi mtandaoni huku nikijifunza na kutekeleza baadhi ya mbinu nilizokuwa nikijifunza kuhusu Digital marketing.

Siyo siri, ilichukua muda kiukwel mpaka kuanza kupata matokeo lakini jambo muhimu ni kuwa nilifanikiwa kujifunza na baada ya hapo nikaona nipo tayari kufanya mitihani kabisa ili kupata Cheti cha Digital Marketing moja kwa moja.

Niliingia Google Digital Gerage na kusoma kozi ya Fundamentals of Digital Marketing na nilifanikisha kufaulu na kupata Cheti hicho.

Muhimu: Kwa wale mtakaohitaji kujifunza Digital Marketing na kupata Cheti tunaweza wasiliana 0752026992.

Haikuwa rahisi kama ninavyoandika na unavyosoma hapa kwasababu ilihitaji kujitoa kwa kujifunza na kuweka katika matendo ili kuhakikisha kweli nilichojifunza kinafanya kazi.

Lakini pamoja na yote haina maana kuwa ni jambo lisilowezekana, La hasha! Ni jambo linalohitaji muda, ustahimilivu na moyo wa kujifunza bila kukata tamaa.

Muhimu la kuweka akilini ni kwamba katika chochote unacho Fikiria kufanya au unachokifanya jitahidi kujizuia kutaka matokeo ya haraka ili iwe rahisi kufikia lengo na kupata unachostahili.

Muhimu: Kwa wale wenye maswalli kuhusu Digital marketing au uhitaji wa huduma zake kama vile (Social media marketing, Search Engine optimization, Content marketing, Copywriting) tunaweza wasiliana 0752026992.
 
Na Mr. Purpose.

Nimekuwa nikifanya online business kuanzia mwaka 2018, ambapo nakumbuka nilikuwa nafanya application za vyuo, mkopo na usajili wa makampuni kupitia BRELA.

Huduma hizo nilianza nazo na nilikuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja popote walipo Tanzania.

Haikuwa rahisi mwanzoni kwani ilibidi kutumia nguvu kubwa hasa katika kutafuta wateja kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook ambayo ndiyo niliyotumia sana kuliko hizi platforms zingine kama whatsapp, instagram, twitter, LinkedIn pamoja na platform ya Jamii Forum.

Kuna changamoto nyingi ambazo nilikutana nazo mpaka kufikia hatua ya kupata wateja wa uhakika na wa kuaminiana.

Niseme tu kiukweli haikuwa rahisi hata kidogo hasa ukilinganisha na asilimia kubwa ya Watanzania kutokuielewa online business na kuamini pia kama ni kweli unaweza hudumiwa na kila kitu kikawa sawa.

CORONA ILIVYOSAIDIA KUKUZA ASILIMIA KUBWA ZA ONLINE BUSINESSES.

Baada ya msoto wote huo, kiukweli Corona, janga lililotikisa Dunia imeleta matokeo chanya kwetu sisi tuliokuwa tukifanya online business na mabadiliko makubwa tuliyaona ndani ya miezi michache ya uwepo wa Corona.

Hapo ndipo nilipopata idea ya kuanza kusambaza study materials

Niseme ukweli usamabazaji wa softcopy za hayo materials yalikuwa na mapinduzi makubwa sana na matokeo yalikuwa makubwa siyo siri (mpaka sasa).

KWANINI NIMEKUANDIKIA??

Wewe mfanya biashara ambaye unayo biashara yako, una frame security fulani ila biashara yako haipo online, aisee, UNAKOSEA SANA.

Kwanini unakosea??

Wateja wamehama mzee, kwasasa wapo Facebook, Whatsapp, Twitter, Instagram, yaani namaanisha, wapo mitandaoni, hasa hii mitandao ya kijamii.

Ebu fikiria kampuni kubwa zote kwasasa zinakuelekeza kuwasiliana nao kupitia mitandao ya kijamii kama whatsapp, instagram na Facebook. Nakupa mfano wa kampuni ya Vodacom, kwasasa huduma kwa wateja ukitaka kuongea nao ni mpaka instagram, Facebook au Whatsapp moja kwa moja.

Wao wanachokifanya wanakuwekea link tu na inakupeleka moja kwa moja hadi inbox yao, MA wanakujibu kwa wakati.

Unadhani kwanini wamehamia huko?

Kwasababu ulimwengu unabadilika hivyo lazima nao pia wabadilike kuendana na hali.

Mfanya biashara unamiliki kampuni au biashara ya kawaida halafu hata blog au pages kwenye mitandao ya kijamii biashara yako haipo, unasubiria wateja hapohapo ulipo , shtuka mzee utashangaa mwenzio anaongeza vitu tu na wateja wanajaa kwake uelewi wametoka wapi.

Kwa leo ngoja niishie hapa ila kumbuka wewe unayefanya biashara jinsi ambavyo miaka mitano huko nyuma ilikuwa ikifanyika mzee utaachwa na utashangaa mauzo yanashuka.

Baadhi y wasanii wa muziki nao wameshtuka wameanza kuuza Album zao kupitia mitandao ya kijamii, Nikki Mbishi kwa wale wanaomfahamu kazi zake ukihitaji ni mpaka kumfuatilia instagram nakumbuka interview yake aliyoifanya Clouds FM, jamaa ana madini sana na ndipo nikakugundua kumbe kuna wasanii ambao wapo vizuri kabisa upstairs.

Wapo wengi ambao kwasasa mtandao umekuwa ni sehemu kubwa ya kuwaingizia kipato kuliko hata jinsi ambavyo ofisi halisi zinaingiza.

Dada, Mama, Kaka, Baba na wote wengine kuna baadhi ya vitu havikuwepo Tanzania, ila tunakoelekea vinaenda kutawala, kuwa na jicho kuitazama fursa, usisubiri anza leo.

Mwisho, wale waalimu mnaofundisha online business halafu hata biashara ya online hamna hata moja, acheni kutoa vitu nadharia. Speak from your own experience (nitawaletea makala pia kuhusu hawa watu)

Pia kama utahitaji kutazama zaidi na kunifuatilia zaidi,

Bonyeza link hii

Karibu kwa ushauri kuhusu lolote NATOA BURE KABISA.

Muwe na asubuhi njema.

TUKUTANE SEHEMU YA PILI.............. .

Share na wengine pia.
Thanks Mkuu kwa madini ..
 
Njia tatu za kupata wateja wa uhakika Mtandaoni.

1. Kufahamika. Tafuta mbinu za kujenga mazingira ya watu kukufahamu ama kuwa na taarifa zako zaidi.

Unaweza kutumia njia ya kutengeneza maudhui kuhusu huduma/biashara yako ambayo yatawasaidia kufahamu zaidi kuhusu unachokifanya hivyo kufuatilia kutaka kujua zaidi.

2. Kuaminika. Fanya wateja kukuamini wewe na kuamini uwezo wako katika kutimiza mahitaji yao kupitia Huduma au Biashara yako.

Ni ngumu mtu kufanya biashara na mtu asiye muamini, hivyo mfanya Biashara tengeneza mazingira ya kuaminika na watu.

3. Kupendeka. Watu wengi Watafanya maamuzi ya kununua huduma yako ikiwa watakupenda wewe au kupenda kuwa na wewe.

Ni ngumu Kufanya biashara mtandaoni na mtu asiye rafiki wala kuhisi kutaka kuwa na urafiki na wewe.

Ni jukumu lako kutengeneza ukaribu na mazingira ya urafiki kati yako na watu mtandaoni.

..............................................................
Kujifunza Jinsi ya Kuanzisha

Biashara Mtandaoni

na kutafuta wateja kwa kutumia

ujuzi wa DigitalMarketing,

karibu 0752026992
png_20211209_144630_0000.jpg
 
View attachment 2038584
Ipi ni njia rahisi kupenya?
 
Mkuu kokudo Inabidi upitie zote Tatu ili kupata matokeo mazuri.

Lazima watu wakufahamu kwanza wewe na kile unachokifanya kisha kuwatengenezea mazingira ya kukuamini na baada ya hapo kujenga ukaribu na wewe ambapo utaweza kuwauzia huduma au bidhaa yako bila tatizo.

Muhimu kuanza.
 
Back
Top Bottom