Tupeane business ideas latest

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,313
Hello wakuu...habar zenu, kwa wale wajasiriamali wenzang na my fellow vijana wanaowaza kujiajiri na wale ambao wamesha anza kujiajir na wame advance katika stage nyingine tusaidiane kupeana dili na biz ideas za angalau kupata faida ya 50,000/= per day. Asanten na karibuni.
 
Karibu mkuu...unajua bwana nmegundua watu weng wanafanikiwa ila weng wao sijui kwann hawatoi ushirikiano kusaidia ideas zao na wao walipita humo humo sjui hua wanataka wafanikiwe wao tu ama vipi....
 
Hello wakuu...habar zenu, kwa wale wajasiriamali wenzang na my fellow vijana wanaowaza kujiajiri na wale ambao wamesha anza kujiajir na wame advance katika stage nyingine tusaidiane kupeana dili na biz ideas za angalau kupata faida ya 50,000/= per day. Asanten na karibuni.
 
Attachments

  • LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI.docx
    22.4 KB · Views: 202
Mtu kukupa wazo la biashara inakuwa vingumu sana! Hata ukimwambia mtu alie kwisha fanikiwa akupe njia alizotumia kufikia hapo alipo hakwambii anakupa njia nyingine ambazo ukienda nazo unapotea mazimaaaa!

Ila mim nataka nijue faida inayo patikana na kufungua radio station au tv faida yake ipo je
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom