EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Kujifukiza kunapunguza nosal and throat congestion na mfumo mzima was hewa. Mtu anaposhindwa kupumua it's means mfumo mzima wa hewa ume be congested, ndio maana mtu anayejifukiza na kutumia maji ya moto ana reduce congestion ambayo inasaidia kupata nafuu.Jiulize jambo,kujifukiza kunaongeza ama kuounguza oxygen kwenye mapafu?,ukipata jibu utajua usahihi ni kiacha ama kuendelea