Tupaze sauti zetu kwa watawala, tusijekosa wa kutuzika

Shida watu tuna hofu sana na wanaposema watu wajifukize kila mtu ana muhitikio waje wa dawa tofaut na mwingine, Kuna magonjwa ya ndani, mleta maada umecheck na magonjwa mengine?
 
nina tabia ya kila Februari kuhudhuria kliniki kwa ajili ya checkup hata kama siumwi. Najijua vema kwa mujibu wa madaktari wanaonifanyia uchunguzi.
 
Back
Top Bottom