TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,756
- 1,781
Post picha yenye ujumbe ndani yake me naanza ivi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa tena pumba zaidi.Kuna sehemu kuna uzi unasema mazungumzo ya vijana Tz 90% ni pumba
Huwezi kupata mchele bila pumba kuwepoNi kweli kabisa tena pumba zaidi.
Wewe ni mzee mda wako umepitaKuna sehemu kuna uzi unasema mazungumzo ya vijana Tz 90% ni pumba
Wewe wako umeshawaokoa??Badala ya kupambana uwaokoe wazaz wako kule kijijini dhidi ya umasikini unaowateketeza, ww unashindia jf na mada za ajabu ajabu, grow up kid.
Gunia la pumba Moshi Tsh 20000 sasa wewe Ona pumba usione fursa!!Ni kweli kabisa tena pumba zaidi.
Huku Mwanza gunia 2000 sasa endelea kutetea pumba.Gunia la pumba Moshi Tsh 20000 sasa wewe Ona pumba usione fursa!!
Huwezi kula pumba, labda uwe na tabia za nguruwe.Huwezi kupata mchele bila pumba kuwepo
Huko machimboni ndio maana pumba hazina bei pumbavu tu!Huku Mwanza gunia 2000 sasa endelea kutetea pumba.
Umekula pumba sasa umeachama kinyesi kinatoka kupitia kinywa.Huko machimboni ndio maana pumba hazina bei pumbavu tu!
We chako kinapitia wapi??Umekula pumba sasa umeachama kinyesi kinatoka kupitia kinywa.
Ukisikia kichwa nani ndio huyu
Post picha yenye ujumbe ndani yake me naanza ivi.....
View attachment 1125299View attachment 1125300
😂 hilo ua linahitaji ujasiri kulielewa