Tupashane habari za vituo jamani upande uliopo siyo yahaya sa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupashane habari za vituo jamani upande uliopo siyo yahaya sa hivi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by URASSA THE DON, Oct 31, 2010.

 1. URASSA THE DON

  URASSA THE DON Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  WEKA HOJA AMBAYO IPO VERY CURRENT FOR THIS TIME TUPE HABARI ZA VITUO UPANDE WAKO HALI IKOJE MAMBO YA YAHAYA ATUTAKI KUSIKIA ATUSAIDII SA HIVI 2AMASISHE WATU IYO HOJA YA YAHAYA WANA JF HAITUSAIDII KWA DAKIKA HIZI. HUKU KWETU MTONIMTONGANI TEMEKE HALI NI SHWARI KABISA YAAN HAMNA FOLEN NA NIMESHAMNYONGA MKWERE SASA NAWAHAMASISHA WATU WAKAPIGE KURA AND TO TICK THEIR VOTE TO PHD SLAA. SO WE HAVE A LOT OF ISSUE WHICH IS TO INFLUENCE PEOPLE TO VOTE.:israel::peace::peace:
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Don hizi ni zama za Chadema pale Ubungo NHC ile asubuhi maana mpaka saa moja na dk ishirini nilikuwa tayari nimeshampa Dr wa ukweli na Mnyika na Diwani wetu ushindi, hata akina mama waliokuwepo pale walichukia kile kitendo cha kukosekana kosekana majina yao na walijikuta wakisema ngoja tufanye mabadiliko maana hawa wanaona kila kitu ni haki yao, so utaona sura halisi ya mwelekeo wa watu
   
Loading...