Tupac or TI

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583
Nasikiliza redio hapa na wana hii nani zaidi ambayo mimi naona ni ya kijinga kwa sababu wanawalinganisha watu ambao wako katika madaraja tofauti.

Nani zaidi: Tupac au TI?
 
leo ni jumatatu na unasikiliza redio gani pia utupe briefs za hao wanaoshindanishwa.
homework
 
T.i mwenyewe alishasema 2pac is the king...so hakuna ushindani hapo ila wanamchallenge "the regend huko aliko..rest in peace thug".



....................................
All i can see was ma mama eyes no one knows ma struggle they only see is troble...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom