Tuorodheshe wasaliti ambao "NJAA" zao zilibadiri misimamo yao baada ya kupata "ulaji" wakati wa 2015-2020

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF.
1. Polepole
2. Kabudi
3. Nasari
4. Kafulila
 
Yaani asali tunazolambishwa imebidi nikachekee chooni we endelea kupaukiana hapo ufipa tuache tujilambie miasali ya kutosha hapa Lumumba.
 
Back
Top Bottom