Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,719
Wakuu wadau wa JF Doctor, tumetangaziwa kupeleka watoto wetu kupata chanjo ya Rubella, tujifunze hapa kuwa rubella ni nini. Bahati mbaya mimi sources zote nilizo nazo ni za kingereza namwomba mkuu mtaalam MziziMkavu aje na data kwa Kiswahili.
Nitakua ninatoa na kupachika vipande hapa vinavyoelezea rubella kutoka mtandaoni na kweka link zake ili msidhani kuwa natunga mimi.
Kuanzia juzi mada zangu zote kuhusu Rubella zimekua zikifungwa na mods wa JF, sababu labda zilikua very negative. Hivyo basi nimeamua kuleta huu uzi kielimu zaidi bila kuleta hisia zangu zozote kuhusu mpango wa sasa hivi wa chanjo.