Tuongee ukweli: Uteuzi wa Kangi Lugola ni kamari tu

kwangu nilichofurahi ni mwigulu kufukuzwa. pia ikiwezekana hata huyo aliyeteuliwa baada ya muda afurushwe tu.
 
Wizara imepata mtu sahihi, anayeweza kunyatia nyayo za MREMA....

UONGOZI NI KUJIFUNZA MAZURI NA KUACHA MABAYA....

Amtafute LYATONGA (Bado yupo hai) akapate mawili matatu

Ph.D ikafanye tafiti za kiuchumi,
 
Kwenye chungu (Kangi Lugola) ndio anaonekana mwenye unafuu, who else should the man from Kivukoni can pick?? Guys hapa ndipo tulipofika, Zoezi la kuandaa viongozi lazima liwe endelevu, vinginevyo tuendako ni giza(Kama viongozi wenyewe tunaoletewa kutoka kwenye chungu ndio hawa)
Viongozi wa kisiasa huchaguliwa na wananchi. Hawapikwi kwenye "chungu" au kuandaliwa mafichoni.
 
Tatizo sio mtu aliyeteuliwa kushika wadhifa fulani. Tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi yetu. Hatuna dira endelevu kila mtawala anakuja na mambo yake .. hatuwezi kufika kokote kwa uongozi wa nyinyiemu.
 
Back
Top Bottom