TUONGEE KIUME: Tunachowapa madada wa kazi, sicho walichokifuata

Kuna mtangazaji wa RFA siku za nyuma kama sikosei alikuwa anaitwa Roy Maganga, alizungumzia suala la wafanyakazi wa ndani kwa ufasaha sana kwenye moja ya vipindi vyake, nakumbuka katika mfulurizo wa masomo yakr alisema "dada wa kazi ni binadamu kama wewe boss wake, ana mahitaji yanayofanana kabisa na ya kwako boss wake, kwahiyo anastahili kupata nafasi ya kupata huduma za kimwili, si busara kutompa freedom anayostahili kama binadamu mwingine yeyote"😯
 
Wadada wa Kazi wanaliwa sana na wababa wenye nyumba au watoto wao. Akina mama wanachangia sana, mama anakua busy mwez mzima hampi mzwe game na wanalala wote
 
1. Kwanza sipend manyanyaso na dharau na kelele ambazo sometimes nakutana kazin/ofcn.Huwa zinani disapoint sana na kuniondolea mood ya kazi.
-hii nai apply kwa houae girl wetu na huwa namsisitiza sana wife aongee kwa upendo na hawa watu.

2. Nachukia kampuni kukaa na pesa yangu wakat nafanya majukum yangu so mshahara ni haki yangu sio huruma yao.
-huwa namsisitiza sana wife asicheleweshe mshahara wa mtoto wa watu hata siku 2.na akimpa asianze kumuazima mara sijui nunua hiki au kile nitakupa nikirud.Maana si unajua zile na vitu kupungua ghafla na hukupewa taarifa.Hil sitaki.

Yapo mengine meengi

Nb.
Haya yote ni lazima yaendane na msichana kunitunzia watoro vizur.Otherwise njia nyeupe ileee.
 
Back
Top Bottom