TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe...

Aisee alitumia akili sana. Jamaa amshukuru mke wake kwa kutumia hio njia kurejesha uhusiano wake na watoto
Na kuna watu hawatoelewa umuhimu wa mahusiano kati ya baba na watoto, wanaanza kulaumu kuona kama mwanamke ni mkorofi, ni nani anataka kukaa na mtu asiyejua kubalance maisha hata kutenga muda na watoto wake nalo hadi asimamiwe!!!!!
 
Yan kama asingefanya hivyo bas watoto wangefanya kwa niaba yake pindi watakapoanza kujitambua/kukua ndio hapo zile kauli za "hawa watoto wanampendelea zaidi mama yao " na " hawa watoto hawanithamini baba yao"
 
Ukiona mwanaume anashinda bar zaidi kuliko nyumbani tambua nyumbani hali si shwali anakimbia kelele za mke.
Ni bora mara elf ushinde na kelele za bar kuliko kelele za mke mpumbavu. Maana hata maandiko usema mke mpumbavu upiga kelele. Mwanaume ndie kiumbe asiyependa kelele Baada ya dorphin.
 
Kelele ndio chanzo cha wanaume wengi kufungasha mabeg yao.
Wanaume wastaarabu, wasomi, walioshika dini ndio wahanga wakuu wa makelele, mwanamke hawezi mpigia kelele mwanaume dikteta.
 
Nimesoma tu kichwa cha habari nimegundua huyo mwanamke akili hana
 
Back
Top Bottom