ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 898
Nakuunga mkono kama ifuatavyo;kuna mpangaji mwenzangu anaishi na mkewe,sasa jamaa kwa kweli ni mlevi kupindukia na ana kero kwa mkewe na sisi wapangaji wenzake japokuwa jamaa ana kazi nzuri sana ya kuchukuliwa na Gari ya ofisini na kurudishwa jioni.muda mwingine akirudi usiku utasikia anamwambia mkewe wee mama Asha ingia ndani nataka kuto***.na mambo mengine mengi kwa kweli mkewe anavumilia mambo mengi.Usioni umuhimu wa pombe.
Namshukuru Mungu Mr nae hatumii pombe.
Ukinywa pombe ukilewa unajidharirisha
Pombe inaongeza umasikin ktk familia.
Kuishi bila kunywa pombe inawezekana,
Swali? Kwa wanawake
Hv mwanamke mwenzangu unajisikiaje mumeo anarud kalewa njwiiii, na au kajikojolea na kero nyingine nyingi za ulevi au anasukumwa kwenye mkokoten wanamleta nyumban hajitambui c unaweza ukafa kwa presha jaman.