TUONGEE KIUME - "Fedha zina tupa Wanawake wepesi "

Mie nikiwa na mwanamke nikigundua ananipenda kwa sababu ya pesa basi penzi langu kwake litapungua na kufa. Kuna raha ya kuwa na pesa kutaka kutoka na mpenzi wako sehemu kali kali avae vizuri, niende naye lunch dinner na hata vacation sehemu za kuvutia. Ila akionyesha tu penzi lake kwangu ni penzi uchwara kafuata pesa itakula kwake. Ogopa sana mrembo anayekupenda kwa sababu umebahatika kuwa nazo.

Ni kweli!
 
Acha ujinga wewe! Mwanamke anayekupenda kwa pesa si mwanamke wa kuwa naye PIGA CHINI HARAKA SANA. Mbona wako wanawake wa maana tu wazuri well educated ambao wana mapenzi ya kweli!? 😳
sio ujinga kaka mkubwa wewe jiulize kichwani mwako kwanini kakupenda mzee...mkubwa hakuna anayekupenda tuu from no where there must be a reason bro
 
Unadhani ningeandika hivi kama sikuwahi kuwemo kwenye penzi? Kuna vitu vingi vinavyomfanya KE avutiwe hadi ampende ME na kwa wengi pesa si kigezo cha penzi ila wenye penzi la kitapeli.

the hell you think you got she never see or have in her life?...but its alright we believe differently its okay big bro
 
Unazungumzia wanawake wa mwaka 47
Wanawake wa Leo wema na wasio wema hawamkatai mwenye pesa na kwa maana hivyo ukiwa na pesa alafu mwenye bahati unaweza kumpata mwanamke bora

Lakini pia mwanamke anaweza kukukubali kwa kigezo cha pesa na baada ya kuwa na wewe akukukubali wewe kama wewe kwa kuwa hakukufahamu sana kwamba wewe ni mtu wa aina gani lakini akishakujua anavutiwa zaidi na wewe
 
Back
Top Bottom