Tayta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 310
- 576
Sana aise
Hahaha. .huu ni mtihani mwingine mzito
Hahaha. .huu ni mtihani mwingine mzito
Mie nikiwa na mwanamke nikigundua ananipenda kwa sababu ya pesa basi penzi langu kwake litapungua na kufa. Kuna raha ya kuwa na pesa kutaka kutoka na mpenzi wako sehemu kali kali avae vizuri, niende naye lunch dinner na hata vacation sehemu za kuvutia. Ila akionyesha tu penzi lake kwangu ni penzi uchwara kafuata pesa itakula kwake. Ogopa sana mrembo anayekupenda kwa sababu umebahatika kuwa nazo.

Nyie zisakeni kweli kweli maana tunazihitaji.Wenzako wana Tafuta wenyewe kwa Nguvu zao '- reference Oprah Winfrey and the likes
ya ni kweli ni bora nipate mwanamke ninayejua ananipendea pesa ili nipate kuzitafuta kwa nguvu,,,,maana ukiwa huna hutapata mwanamke na huzuni na njaa vitakua karibu yako...kwenye jamii yoyote yenye njaa... njaa...pesa ina nguvu sana karibu kwenye nyanja zote na ni vigumu sana kupata genuine love.