TUONGEE KIUME - "Fedha zina tupa Wanawake wepesi "

Hahaha ninge shambuliwa na wananzengo humu mpaka ningekoma. ...hawa kawii kusema kuwa bangi imenibangua
Faza umeandika maneno mengi mno. Kwa kichwa hiko ulitakiwa ushuke tu chini uandike

Uzi tayari..........
 
Ye
Mie nikiwa na mwanamke nikigundua ananipenda kwa sababu ya pesa basi penzi langu kwake litapungua na kufa. Kuna raha ya kuwa na pesa kutaka kutoka na mpenzi wako sehemu kali kali avae vizuri, niende naye lunch dinner na hata vacation sehemu za kuvutia. Ila akionyesha tu penzi lake kwangu ni penzi uchwara kafuata pesa itakula kwake. Ogopa sana mrembo anayekupenda kwa sababu umebahatika kuwa nazo.

YeAh true dat
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Naamini katika pesa pesa inafanya mengi sana ata pepo unaweza kuipata kwa kutumia pesa
 
Kabisa mkuu '"...

Mtu na pesa zake

Twanga pepeta (the African stars)

Mtunzi-banza stone
Naamini katika pesa pesa inafanya mengi sana ata pepo unaweza kuipata kwa kutumia pesa
 
its different these days we dont need love all we need is money and somebody to pretend she in love but she is not...thats what we need because thats why we hustling
 
kwenye jamii yoyote yenye njaa... njaa...pesa ina nguvu sana karibu kwenye nyanja zote na ni vigumu sana kupata genuine love.
ya ni kweli ni bora nipate mwanamke ninayejua ananipendea pesa ili nipate kuzitafuta kwa nguvu,,,,maana ukiwa huna hutapata mwanamke na huzuni na njaa vitakua karibu yako...
 
Mie nikiwa na mwanamke nikigundua ananipenda kwa sababu ya pesa basi penzi langu kwake litapungua na kufa. Kuna raha ya kuwa na pesa kutaka kutoka na mpenzi wako sehemu kali kali avae vizuri, niende naye lunch dinner na hata vacation sehemu za kuvutia. Ila akionyesha tu penzi lake kwangu ni penzi uchwara kafuata pesa itakula kwake. Ogopa sana mrembo anayekupenda kwa sababu umebahatika kuwa nazo.

we ni mwanaume we unadhani mwanamke akupendee nini?
 
Back
Top Bottom