TUONGEE KIUME - "Fedha zina tupa Wanawake wepesi "

Haya
IMG-20190711-WA0004.jpeg
 
Hahaha mkuu swali ni fikirishi sana hili 'Majibu yake Yana hitaji wataalamu wa Kiuchumi. ..ila kwa maoni yangu Hili suala lina depends na Mazingira ya uchumi husika wa nchi au mji/kijiji ana chotokea victim. .... kwa mimi naona kibongo bongo ni kuanzia Ml.50"...... kwa sababu ni kiasi ambacho kwa kiasi fulani kinaweza kutoa majibu ya changamoto zinazo mzunguka muhusika na hatimae kama atazitumia vyema katika uwekezaji anaweza kuishi maisha ya Ndoto yake

Nadhani nitakuwa nimejaribu kukujibu
Hivi mkuu ili tuseme huyu mtu ana fedha,inabidi labda bank account yake iwe inasoma balance ya kiasi gani??
RRONDO
 
Katika imani wanasema, "Usiabudu miungu wengine ila mimi" lakini trust me, hakuna kitu kinachoabudiwa hapa duniani kama PESA!

Pesa ina nguvu, ina ushawishi, inaleta heshima, inaongeza kujiamini nk. Kwa sababu hiyo, pesa inatupatia vitu ambavyo huenda kwa njia zingine hatuwezi kuvipata, including wanawake. Na kama ulivyosema, huenda we get the wrong choices coz of thick wallets(naongelea wale wenye thick wallets, sisi wengine huenda ni uongo mwingi unatupatia wanawake)
 
Hahaha sisi wengine naomba ishia hapo hapo kwenye hiyo paragraph ya mwisho yenye mabano
 
Faza umeandika maneno mengi mno. Kwa kichwa hiko ulitakiwa ushuke tu chini uandike

Uzi tayari..........
 
Back
Top Bottom