Hapo sasa ndio Inapoibukaga vita kuu ya 3 ya dunia
Kama ilivyo ngumu kututenganisha wanaume na ngonoNi ngumu kwa sasa kutenganisha kati ya mwanamke na pesa
Ukipewa jibu nishtue.Hivi mkuu ili tuseme huyu mtu ana fedha,inabidi labda bank account yake iwe inasoma balance ya kiasi gani??
RRONDOHivi mkuu ili tuseme huyu mtu ana fedha,inabidi labda bank account yake iwe inasoma balance ya kiasi gani??
Tusake pesa tu hamna namna!Sawa, sasa inakuwaje....?
Hahaha sisi wengine naomba ishia hapo hapo kwenye hiyo paragraph ya mwisho yenye mabanoKatika imani wanasema, "Usiabudu miungu wengine ila mimi" lakini trust me, hakuna kitu kinachoabudiwa hapa duniani kama PESA!
Pesa ina nguvu, ina ushawishi, inaleta heshima, inaongeza kujiamini nk. Kwa sababu hiyo, pesa inatupatia vitu ambavyo huenda kwa njia zingine hatuwezi kuvipata, including wanawake. Na kama ulivyosema, huenda we get the wrong choices coz of thick wallets(naongelea wale wenye thick wallets, sisi wengine huenda ni uongo mwingi unatupatia wanawake)
Nadhani ni Ukosefu wa discipline 'Wajua pesa Huwa inakuja na pressure kubwa kwa muhusika - kama atakuwa amekosa elimu ya nidhamu ya pesa ...Mambo kama hayo lazima yataibuka tu