hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,116
Kabla hatujafika mbali naomba turudie kusoma kichwa cha Habari .
Kimeandikwa "Pesa zina tupa Wanawake Wepesi "Hakisemi ni Dhambi kuwa na pesa au Kutafuta pesa.
Pesa ni Nguvu . Na nguvu ni kitu Muhimu kuliko kitu chochote hapa Duniani . Hata kabla ya kuanza mfumo wa pesa wa makaratasi na sarafu Tunazo tumia leo pesa zilikuwa zinatumika.
Binaadamu wa kale atumia nguvu na maarifa kama pesa , ili apate chakula ili bidi atumie vitu hivyo viwili ,
Kuwinda sungura au kupanda juu ya mti kuangua fenesi kwa wakati ule hiyo ndiyo Pesa ,
Ukiweka pembeni kazi za Mungu tu ,pesa inaweza kufanya kila kitu kingine kilicho chini ya Jua --Kununua Muda .Kununua Akili .Kununua Afya bora. Kununua .Kununua Heshima, Kununua Fedha zingine ili ziwe nyingi .Yaani inaweza kufanya kila kitu.
Ukiwa na Fedha Utakuwa na Marafiki wengi ,Utapendwa na kila mtu (hata kwa upendo bandia ).. Utaheshimiwa na Kuthaminiwa ,Lakini Changamoto inakuja ni Kwamba Ukiwa na Fedha Kuna Mambo Mengine Hauwezi Kuyapata kiuhalisia
Kwa mfano, Kumpata mwanamke Ambaye unatamani(Mwanamke wa Ndoto yako) ni vigumu.
Kwanini ? Kwa sababu Pesa haina desturi ya kutojificha, Ukiwa na Fedha lazima Watu Watafahamu 'Kwa Jicho la Kwanza watakalo Elekeza kwako' Hata ukijiweka Katikati Ya kundi Kubwa la Watu Fedha Itachomoza Juu na kusema nipo hapa .kwa huyu Bwana.
Hii Maana Yake ni nini? Ni kwamba kila Mtu uliyemzidi Pesa atataka kuwa Rafiki yako , Kila Mtu atagiza Kukupenda .Kila Mtu ataigiza kukuheshimu na Kutamani kuwa Karibu yako.
Maana Yake ni Kwamba hata kama leo hii ukimtaka Mwanamke Ambaye Yeye Binafsi hakuwa ana hitaji kuwa na wewe kwa Maana ya Upendo , Atakubali tu kwa sababu Kuna kitu kingine ambacho anaweza kupata Ambacho ni Pesa zako .
Na hii ndio sababu Tunasema PESA ZINA TUPA WANAWAKE WEPESI. .
Mwanamke imara na mzuri ni Yule ambaye ana hitaji pesa sana sana . Lakini hayupo tayari kufanya kinyume na Matakwa yake au Kufanya vitu visivyo mpendeza ikiwemo pia kuwa na Mtu (Mwanaume ) ambaye hampendi ili tu apate hizo pesa ambazo anazihitaji sana.
Mwanamuziki wa Tanzania WAKAZI aliwahi kuandika Mwanamke Mzuri ni Mwenye Tabia njema na Mapenzi Ya Dhati ,na Mapenzi haya nunuliki kwa Fedha ,Unaweza Kununua Tendo la Kufanya mapenzi lakini sio Upendo. .Huo ndio Ukweli
Na hii sio kwamba Tuna-walaumu wanawake Kwamba wanapenda Pesa hapana. .Ukweli ni Kwamba Tunaongelea wanawake kwa sababu hii kolamu ni Tuongee Kiume ..Lakini ukweli ni Kwamba hata Wanawake wenye Fedha , Fedha zao Zina wapa Wanaume dhaifu.
Wanaume walioshindwa Kutafuta Vyao Waano-tegemea Kuhudumiwa .,
Mambo Mawili ya kumalizia ; Kwanza sio Vibaya kuwa na Mwenza mwenye Fedha .
Lakini chakujiuliza, Je uko hapo kwa sababu ya Pesa zake au una sababu zilizo mbali na hiyo Nguvu yake ya kiuchumi ?
Na pili wale Tusiokuwa Angalau ya Nusu ya Tunazo Zitaka Tuendelee Kutafuta kwa jasho na Akili
By :Kelvin Kagambo