Tuongee asubuhi: Demokrasia iogope gharama!

lumanga

Senior Member
Nov 27, 2017
114
48
Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi kuna maada inayosema "DEMOCRASIA IOGOPE GHARAMA?
Ni swali linahoji gharama, wachagiaji wamengeme kwenye kuongeza muda wa uchaguz. Wengne wamesema miaka 7 inapendeza kuipa serkali ili itekeleze vizur ahandi zake na kupunguza gharama za uchaguz. Mwingne amepinga hoja hii.

Je ww unasemaje??
Karbuni!!!
 
huu upuuz wa kujadili kumuongezea rais miaka saba ni haramu hata kuujadili kwenye TV ,hii ni aibu kwa Tz tunayoyasikia Uganda ,Burundi,Rwanda mnataka kutuletea Tz,kwanza huyo magufuli kitu gani cha ajabu amefanya mpaka atake kubadilisha katiba atawale kinyume na katiba,ccm embu acheni kulinajisi taifa letu
 
U.S.A 4 yrs, huku mnataka saba ili mfanye nn? Tuko watu milioni hamsini inamaana viongozi wamekosekana kabisa hadi tung'ang'ane na mtu mmoja kwa miaka yote hiyo. Tupeane nafasi ya kuonesha talents za uongozi!
 
Huyo aliyekuwa anatoa ahadi alikuwa hajui muda unaotakiwa kutekeleza?!

Waache ufala hao muda hauwezi ongezwa kwa maslahi yao binafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom