Tuombeane tuyashinde majaribu haya,Leukemia isikie tu kwa jirani

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,675
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg


A chronological look at the changes Zion went through as she battled Leukemia.

I'm sharing some of our pictures so that you can have an idea of the experience and appreciate what Zion and our family has endured from June of 2012.

It has truly been a challenging, but amazing journey. A roller coaster ride - which I would never want to get on again - but which I will forever appreciate. She's our inspiration.
 
Daaah!!!! Kama mzazi nimeguswa sana na hii habari. Pole sana na big bear hugs to Princess Zion, she's an amazing brave girl. My prayers are with you and yours. I am inspired. Princess Zion Rocks.
 
dah, hii imenigusa, vp naona picha ya mwisho yupo na afya nzuri, vp amepona vizuri full?
maana nasikia hii kitu haiponagi
 
Ngaliba Dume

"I have told you these things so that in Me you may have peace. In the world you will have tribulation. But be of good cheer. I have overcome the world."
 
Dah!
Binadamu sisi tunajifanya wajanja bure tu.Kuna watu wanapitia magumu sana.
 
Mungu wa Ibrahimu mkono wako wenye nguvu umfikie huyu mtoto kwaajili ya utukufu wako tu ....umponye na maradhi haya ...
 
mmh.. sawa na poleni ila sijui kwa nini sijafurahia hizi picha kukwekwa humu? Labda mi mshamba ila story ingetu/nifaa zaidi labda ikaambatana na picha chache nzuri kwa ajili ya kuipa uhai. Ni maoni tu.
 
mmh.. sawa na poleni ila sijui kwa nini sijafurahia hizi picha kukwekwa humu? Labda mi mshamba ila story ingetu/nifaa zaidi labda ikaambatana na picha chache nzuri kwa ajili ya kuipa uhai. Ni maoni tu.
Ni kweli. Picha chache zingetosha huku kukiwa na maelezo ya kutosha ili kuelimisha. Sasa hapa tunashindwa kujua mambo mengi mfano huyo Zion ni kutoka nchi gani, matibabu aliyopitia n.k.
 
Back
Top Bottom