Tunu za taifa

H

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
342
Likes
2
Points
33
H

H20

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
342 2 33
Ndugu Wadau, rasimu yetu ya katiba imebainisha kuwa," Jamhuri ya Muungano itaenzi na kuzingatia Tunu za Taifa
zifuatazo:
(a)Utu;(b) Uzalendo;(c)Uadilifu;(d)Umoja;(e)Uwazi;(f)Uwajibikaji; na (g)Lugha ya Taifa. Kwa kuangalia hizo tunu na kuoanisha viapo vya viongozi wetu mbalimbali kwamba watailinda na kuitetea katiba ya JMT na mwisho wanasema ee Mwenyenzi Mungu nisaidie" Kwa kuangalia mambo yanayotokea kwenye mhimili wetu wa BUNGE ni tunu ipi inayoenziwa? Naomba michango yenu.
 
K

Kelvin thobias

New Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
2
Likes
0
Points
3
K

Kelvin thobias

New Member
Joined Oct 19, 2018
2 0 3
Ndugu Wadau, rasimu yetu ya katiba imebainisha kuwa," Jamhuri ya Muungano itaenzi na kuzingatia Tunu za Taifa
zifuatazo:
(a)Utu;(b) Uzalendo;(c)Uadilifu;(d)Umoja;(e)Uwazi;(f)Uwajibikaji; na (g)Lugha ya Taifa. Kwa kuangalia hizo tunu na kuoanisha viapo vya viongozi wetu mbalimbali kwamba watailinda na kuitetea katiba ya JMT na mwisho wanasema ee Mwenyenzi Mungu nisaidie" Kwa kuangalia mambo yanayotokea kwenye mhimili wetu wa BUNGE ni tunu ipi inayoenziwa? Naomba michango yenu.
Tunu za Taifa imeongezekamo moja yaaaani. Marinda pia ni tunu ya taifa
 
Forum statistics

Threads 1,275,230
Members 490,947
Posts 30,536,270