Tisha mkuuAnatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.
Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.

duh!
Umetisha
huyo baba yake aliyekuwa fundi wa magari ya Ikulu alikuwa akiitwa nani?
je majina kamili ya huyu tunu kabla hajaolewa na Pinda ni yepi?
Anaitwa Mzee Abdallah Rehani na anaishi Tabata.

Nyie watu wapekuzi mamboya watu, yawahusuni???
Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.
First Name kabla hajaolewa ndio hilo la sasa la Tunu, na baada ya kuolewa alibadili dini kutoka uisilamu na kuwa mkatoliki, na akabatizwa kwa jina la Petronelasasa kama baba yake Tunu anaitwa Mzee ABDALLAH REHANI je huyu TUNU majina yake kamili (kabla hajaolewa na pinda) ni yepi?
Dont tell me alikuwa akiitwa BINT ABDALLAH
Cv yake ni mke wa pinda basi