hizo ni propaganda tu. Kumbe propaganda zilianza zamani. Ninachojua ni mtu aliekuwa smart kichwani. Alikuwa anaona mbali.Hizi,ndizo habari tulizokuwa tukizisikia! Na ya kwamba,alikuwa anautaka "UNYERERE"!Alipokuwa Mbunge,kuna chombo kimoja cha habari kilishawahi kumuuliza kuhusiana na hilo,alikataa! Bado tuna maswali,ni ya kweli hayo ya kukataa kazi yoyote,mpaka apewe Urais(U-NYERERE)?