Tunnel Guru...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Salaam wakuu,
kwanza kabisa i want to say thanks to the people i owe mpaka nimefanikisha kuconfigure TG and am now back online after shifting from PD Proxy. Sema issue inayonitatiza wakuu ni speed ya kobe, sijui ni servers ninazotumia au ni vp ila sometimes speed inakua slow sana tena usiombe kwenye torrent client kitu hadi 30Kbs mpaka inakera. Halafu kuna ka alert kanatokea sometimes kanachosema tanzanian tg users from now onwards should use VPN over HTTP. hapo imekaaje wakuu? shukrani.
 
  • Hatua ya kwanza: Start HTTP kama kawaida
  • Hatua ya Pili: Fanya settings zifuatazo katika VPN tunnel

  • Protocal: TCP
  • Server: Chagua ambayo ipo location moja na ile server uliyoweka kwenye HTTP
  • Use Proxy weka: 127.0.0.1: 6055 au 6052

  • Faida ya HTTP over VPN: System yote inakuwa na internet, huto hitaji ku_configure kila application/ software ili itumie proxy yaani: 127.0.0.1, Hivyo utaweza update antivirus na OS kiurahisi.
  • For more info contact your TG reseller
 
Mkuu donlucchese
sikuhauri kutumia VPN hata kidogo kwa sababu mbili za msingi
kwanza utasababisha TCP port ziwe blocked maana zitaanza kutapakaa mtaani
pili ina-reconnect/colapse SANA tena SANA
Ila ukitakuona nakubania utamu basi soma chini na wewe uonje

1.Kwenye keyboard yako
14_26072013113314_2.png
+R
Kuna window itafunguka we Type CMD afu OK
6c27.jpg

2.Type ipconfig kwenye Command Prompt
hnf8.jpg

3.Itafute IPv4/IP adress ya PC yako

dr9m.jpg

4.Copy Ipv4 yako pembeni

5.Start HTTP tunnel kwa server yoyote e.g Canada Mpaka iseme succesfully connected

6.Navigate VPN tunnel afu jaza Rport yetu na lport yetu na sehemu ya IPv4 jaza afu Port tumia 6055 kwa ajili ya torrenting kuwa accepted
server mm natumia Canada5 TCP sababu HTTP natumia server ya canada pia

mxm4.jpg

hapo start mpaka iseme succesfull

c.c nxon kejof2,Shaffin Simbamwene,Nanomyte etc

BROUGHT TO YOU BY CERTIFIED VPN RESELLER TANZANIA SINCE 2012
xmas.gif

Last edited by a moderator:
je ntaweza je kuilimit sp¨¦ed nayo receive kiasi kikubwa iende kwenue torrent soft maana hata mm ina kwenda kdg sana
 
Kwangu mimi spidi mzuka tena mia mia,ila nishaanza kupata wasiwasi sijui kama hata mwezi tutamaliza na hii trick,umemwaga mtama kwenye kuku wengi.
 
Mkuu donlucchese
sikuhauri kutumia VPN hata kidogo kwa sababu mbili za msingi
kwanza utasababisha TCP port ziwe blocked maana zitaanza kutapakaa mtaani
pili ina-reconnect/colapse SANA tena SANA
Ila ukitakuona nakubania utamu basi soma chini na wewe uonje

1.Kwenye keyboard yako
14_26072013113314_2.png
+R
Kuna window itafunguka we Type CMD afu OK
6c27.jpg

2.Type ipconfig kwenye Command Prompt
hnf8.jpg

3.Itafute IPv4/IP adress ya PC yako

dr9m.jpg

4.Copy Ipv4 yako pembeni

5.Start HTTP tunnel kwa server yoyote e.g Canada Mpaka iseme succesfully connected

6.Navigate VPN tunnel afu jaza Rport yetu na lport yetu na sehemu ya IPv4 jaza afu Port tumia 6055 kwa ajili ya torrenting kuwa accepted
server mm natumia Canada5 TCP sababu HTTP natumia server ya canada pia

mxm4.jpg

hapo start mpaka iseme succesfull

c.c nxon kejof2,Shaffin Simbamwene,Nanomyte etc

BROUGHT TO YOU BY CERTIFIED VPN RESELLER TANZANIA SINCE 2012
xmas.gif

shukrani kaka, wala usiogope mi nafata ushauri siku zote wa more techncs as far as ni kitu ambacho am not so friendly with
 
Kwangu mimi spidi mzuka tena mia mia,ila nishaanza kupata wasiwasi sijui kama hata mwezi tutamaliza na hii trick,umemwaga mtama kwenye kuku wengi.
hamna kaka, hata sijamention ni basi gani natumia so ni ngumu kidogo kusannukia!
 
haya mkuu tatizo hawa unauthorized reseller ndo wanashida na watu wanaoenda kuwauzia wengine hata sio wa kupewa info wanapeleka tu kichwa kichwa kisa tamaa ya hela
 
Toka jana jioni hii mambo imenigomea kabisa upande wa HTTP, kila nikijaribu napata "error:No HTTP connection using given port (6052):-Only TG port ...........(listed) will not work. You can try again". Nimejaribu list ya port zote,majibu hayohayo, nimebadili servers bado hamna kitu.
 
naoa kama unamwaga mtama kwenye kuku wengi mtafute resseler wako chemba akusaidie ikiwa hapatikani njoo chemba
 
Mwisho wa Tunnel Guru ulikuwa jana kutumia line ya Zantel, tafuteni maujanja mengine

Mm niliwambiaga acheni kumpa settings hizi admin wa TunnelGuru sasa kuna mjinga yeye kukaa kimya hawezagi sasa mtajiju sasa...

Mm uzuri hizi huwa hazini affect ila naumia pale tu kama nimewauzia voucher watu afu kitu imebuma hata kama nina solution huwa sitaki kuwapa maana naonaga kati ya hao niliowauzia ndo causative agent
 
Back
Top Bottom