Tunisia: Rais amtimua Waziri Mkuu na kuvunja Bunge

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Tunisian president Kais Saied has suspended parliament and dismissed prime minister Hichem Mechichi after a day of protests against the ruling party brought the country’s political crisis to a head.

Cheering crowds quickly flooded the streets of the capital Tunis after Saied’s announcement on Sunday, celebrating and honking car horns in scenes that recalled the 2011 revolution that brought democracy and triggered the Arab spring protests that convulsed the Middle East.
 
Maajabu huku kwetu kuna watu wanaleta mzaa watu wetu wafe kwa Corona halafu mpaka Leo hawakamatwi maana hawana tofauti na magaidi kwa propaganda zao chafu zinazoua!
 
Sijui Rais wetu anasubiri nini? Hatakaa asogee na hao alioazima. Wameshaanza kuungana na akiendelea kutofanya maamuzi itakuwa Shida kubwa mno. Wameanza kumpinga hadharani. Aliambiwa muda kuwa afanye upya kila kitu hakusikia. Kama kuna kundi lilitaka kupindua meza March na bado aliliacha basi ni kosa kubwa mno la kiufundi. Rais wangu amka tunakupenda mno.
 
Tunisia wameandamana nyi kwenu hamtaki kuingia road
 
Back
Top Bottom