Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Tunguli inayosema ya mkuu Bujibuji silaha kama hii ninasikia unayo? au Anayo Mwenzako mkuu MGANGA WA KIENYEJI?
Mkuu unataka tunguli liongee?mbona sijasikia ikiongea mkuu?????
Tunguli inayosema ya mkuu Bujibuji silaha kama hii ninasikia unayo? au Anayo Mwenzako mkuu MGANGA WA KIENYEJI?
Tunguli inayosema ya mkuu Bujibuji silaha kama hii ninasikia unayo? au Anayo Mwenzako mkuu MGANGA WA KIENYEJI?
Ninayo nyingine, ikiona maadui wananikaribia, inatoa harufu kali sana inayomfanya adui apoteze fahamu kwa masaa 72
Ndiyo maana yake!Mzimu wa watu wa kale
Mzee wa lyamba lya mfipa anatisha kama njaa!Katavi ame advance zaidi anaziuza na manual zake kabisa
Nasikia zinahitajika magogoni na msoga, wahi huko upate mchongo.TUKUTUKU ninazo nyingi sana na nimefungua darasa la kutoa mafunzo ya mambo haya.