Tungepima kila mtoto dna unahisi wote ni wako??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,136
Sijajua kwa nini wanaweka bei kubwa kupima hii dna nimekaa nikaangalia jinsi
watu wanavyoisihi hasa kwenye mahusiano na kuamini kuzaa nje ya ndoa ni swala
la kawaida kabisa kama mnaishi bila amani miaka yotee...swali nikaja kwako unahisi
hao ulio nao wote ni watoto wako??na wakipima dna unahisi umewatunzia wangapi?
Bravo weekend
 
Yaani balaa......... nakumbuka hao watu DNA mwaka jana nafikiri walitoa results fulani that revealed that zaidi ya asilimia 50% ya watu walioenda pima DNA na watoto wao, walikutaa hao watoto si wao....... Yaani hii Tanzania ni magamba kuanzia kwenye level ya familia...... Wengine hatuendi tushawazoea watoto ambao kumbe si wetu, na hatutaki aibika kitaaaaa.... Hahahahaaaaaaa. Ijumaaaaaaaaaa na za castle lite..........
 
kama hutaki ugonjwa wa moyo achana kuchek wanao, ishi kwa amani ukiwa una assume ni wanao.
 
Kama ndivyo inabidi iwepo siku maalumu ya kupima DNA nchini tuongozane tukapme wote kama tulivopimaga ngoma kipindi kile tukiongozwa na yule jamaa yetu wa pale magogoni
 
kama hutaki ugonjwa wa moyo achana kuchek wanao, ishi kwa amani ukiwa una assume ni wanao.

umeamini sasa wanaume wengi kwenye familia wanatumika kama NGO kutunza watoto sio wao ama babazao walishakufa wao wanajua watoto wao je unahisi kuna umuhimu wa wanaume kupewa gawiwo la asasi za kiserikali ili kuweza kuendelea kuwatunza watoto hawa??
 
Sijajua kwa nini wanaweka bei kubwa kupima hii dna nimekaa nikaangalia jinsi
watu wanavyoisihi hasa kwenye mahusiano na kuamini kuzaa nje ya ndoa ni swala
la kawaida kabisa kama mnaishi bila amani miaka yotee...swali nikaja kwako unahisi
hao ulio nao wote ni watoto wako??na wakipima dna unahisi umewatunzia wangapi?
Bravo weekend

Kwa sasa sihitaji hiyo DNA test naishi kwa imani tu. Ila tukikorofishana tu naenda kwenye DNA test kwani baada ya hapo itabidi kila mtu aubebe msalaa wake mwenyewe. Kama kuna yeyote ambaye siye wangu kwa sasa wacha ale matunda ya kupendwa kwa mama yake.
 
Alafu mtoto kutokua wako sio tu kwamba wife alitoka nje... yaweza kua walipozaliwa watoto walichanganywa bahati mbaya....
 
Haya mambo mengine yanafaa ulaya na amerika. Lakini yana umuhimu pia
 
umeamini sasa wanaume wengi kwenye familia wanatumika kama NGO kutunza watoto sio wao ama babazao walishakufa wao wanajua watoto wao je unahisi kuna umuhimu wa wanaume kupewa gawiwo la asasi za kiserikali ili kuweza kuendelea kuwatunza watoto hawa??
<br />
<br />
nakupa vidole viwili!
 
Alafu mtoto kutokua wako sio tu kwamba wife alitoka nje... yaweza kua walipozaliwa watoto walichanganywa bahati mbaya....
<br />
<br />
watoto wanapozaliwa huwa wanafungwa kanga ya mama,baadaye anawekewa alama inayofanana na ya mama. Ndo maana huwa kuna malalamiko ya kuibiwa watoto. Hii ya bahati mbaya,dah!....
 
kama ndivyo inabidi iwepo siku maalumu ya kupima dna nchini tuongozane tukapme wote kama tulivopimaga ngoma kipindi kile tukiongozwa na yule jamaa yetu wa pale magogoni

apsee kama ulipima sehemu moja pale mnazimmoja na yule jaamaa wa magogoni kile kipimo feki kajaribu
hata tandale waana zahanati nzuri kweli ...yale majibu yao sio kweli so nakushauri jaribu tena na kama
ulienda na shemeji mwambie nimefunuliwa turudi tena kupima
 
Back
Top Bottom