Tungekuwa na wasichana dizain hii mapenz yangefika next level kusema kweli.

Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:

mwacheni millad afungue njia kwa vilaza tupate pa kuhit sikua ya nanihino nini hiiii aaah nimesahau.....
 
samorento samore jamani jamani mambo haya mbona miguu imeota kichwani na ubongo wake ukawa kifuani hili hali moyo umjichomeza kichwani kweli hamfikirii nyie wanawake wa leo!.!.!! Eti wanangu wawe wazuri kama yeye. Siku moja utajimbuka na kujishangaa ulichofanya kuwa siyo tena siyo na kama unaendelea kuwakataklia wanaume wa ukweli kisa yeye basi tena del de la montaina da mporore warez utwakumbuka kwa machozi ya myoni kweupe mchana na utakuwa umeshachakaaa kichakani huachanikiki tena.......na siyo huyu tu na wengine wa tabia hizi.... Azalinto deolla mjifunze kwa melintiona wa zabrenta wanawake waliokuwa na uzuri wa kumezwa wazimawazima lakin wakachagua kutokuringa kama nyie leo wakitanzania mnao jitungisha majutu maishani mwenu wakaolewa na wadhifu lakini wakzaa wenye nguvu kisura na kimaamuzi.... Pumbavuuuuu kabisa wote wenye kupenda umbo la njee bila kujali kinachokusababisha uwe naye maishani mwako tena ukomee na ukomae wee usipendende kwe sura tu penda performance kikompatible na kikumechiana
 
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:
Mototo kalilia wembe, mpeni
 
hao watoto wa mjini,wanaitwa mbwa koko msikilize then muweke ndani utakiona cha mtema kuni
 
1458119452127.jpg
1458119465157.jpg
1458119478637.jpg
1458119491526.jpg
 
Back
Top Bottom