Tungekuwa na wasichana dizain hii mapenz yangefika next level kusema kweli.

thats why i like jamii forum, i am under 25 but i learn allot from you Brothers and sister, Thank you so much for your words,, be blessed for that
 
Yaelekea na wewe upo kwenye age hiyo hiyo. Na kwa the way feminine brain inafanya kazi huwezi kunielewa hadi udhamirie kunielewa. Kila msichana at this age hujiona exceptional na huamini wenzake wanaolia walikosea kwa ujinga wao. Infatuation(ghururi) haiwaathiri wanawake peke yao kwa hiyo huna haja ya kutengeneza jazba bila sababu. At certain age of our lives, regardless of our sex we enter foolish age. Ni kawaida ya mwanaume wa 24 - 28/29 kuwa na mawazo ya hako kasichana. Kila binti unayemuona unaamini huyo ndio hasa anayekufaa.

Nikirudi kwa huyu shoga yako wa Millard, kwa sasa moyo wake unafanya kazi ya ubongo. Na hii ndio maana hasa ya foolish age kwa upande wa mapenzi. Amevutiwa na kitu kimoja, moyo wake unamuongoza kupaka rangi na kutia nakshi ambazo baadaye hatoziona. Na ikiwa huyo binti ni wewe (manake yawezekana wewe ndio victim mwenyewe) kaa ukijua kuwa mahusiano ya kudumu hayaletwi na sura wala kucha.

Kwa akili hizi Lizzy ndio mnajikuta mmeolewa na masharobaro halafu mnaanza kutuletea mada za kuomba ushauri hapa "mume wangu mvivu" "boy friend wangu hawapendi ndugu zangu" kumbe haya yoote hukuyafikiria mwanzoni sababu ya kuwaza unachokiona bila kufikiria unachohitaji.

Endelea kubisha Under 25
Hata mimi ningekua nimekosa hoja ningejifanya nakujua na kukuvisha uhusika wa mada.
 
hahahaha..mkuu hii habari nawe umeipata wapi? kazi kweli kweli..she is too young to be somebody's wife..anapaswa kuwaza kitabu kwa sana kwa sasa. yuko kwenye kile kipindi cha mpito hata hivyo :smash:
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:
 
Huyu tatizo lake anataka kuongoza maisha yake kwa hisia. Unajua ukiwaza kitu na kukiweka akilini kwa muda mrefu unaweza fika mbingu ya 10. Sasa huyu mtoto akiambiwa yupo kwenye foolinsh age atabisha, wakati alicho kileta hapa kila mtu alikipitia na baadaye akaprove ujinga.

Kazi kweli, tena sio kidogo. Kukusaidia ebu tumia ujuzi juhudi hiyohiyo kutafakazi maisha yako ya kesho badala ya kuhangaika na watu waruninga.
 
hivi manataka aruke stage?
Tulipitia, na yeye anapitia na wanaokuja watapitia.

Ni waliokaribu naye wajue jinsi ya kumuongoza lakini anaweza kuwa kamwona Milard mume, si mume mwema analetwa na Mungu? Labda naye ndo atampata kwa stail hii
 
Hata mimi ningekua nimekosa hoja ningejifanya nakujua na kukuvisha uhusika wa mada.

Bora tuishie hapa, manake huku tunakoenda we will end up loving one another. Nimetokea kuupenda ubishi wako wa kienyeji kama dogo alivyopenda personality ya Millard Ayo.

'Wana JF nisaidieni, nimetokea kumpenda Lizzy kwa namna anavyobishia kila nachosema. Yaani mpk nimefikiria yeye ndio aje kuwa mke wangu manake mimi kukaa bila kubishana siwezi kabisa na najua nikimwambia nampenda atabisha; nifanyeje?
'
 
hivi manataka aruke stage?
Tulipitia, na yeye anapitia na wanaokuja watapitia.

Ni waliokaribu naye wajue jinsi ya kumuongoza lakini anaweza kuwa kamwona Milard mume, si mume mwema analetwa na Mungu? Labda naye ndo atampata kwa stail hii

We do not condemn the girl. Tunamwelewesha mtoa mada kuwa hiki anachokiita next level ni disaster. Yule kademu hajui anafanya nini, na huyu mwenye hii thread hajui nini kinaendelea pale
 
Bora tuishie hapa, manake huku tunakoenda we will end up loving one another. Nimetokea kuupenda ubishi wako wa kienyeji kama dogo alivyopenda personality ya Millard Ayo.

'Wana JF nisaidieni, nimetokea kumpenda Lizzy kwa namna anavyobishia kila nachosema. Yaani mpk nimefikiria yeye ndio aje kuwa mke wangu manake mimi kukaa bila kubishana siwezi kabisa na najua nikimwambia nampenda atabisha; nifanyeje?
'
Butt off.
 
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:

wakaka madomo zege utawajua tu!,wakiona msichana kajitutumua kama hivi wanafuraaaahi...!
 
Back
Top Bottom