zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Habari wana JamiiForums. Ni miaka takribani 28 sasa tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza ulifanyika mwaka 1995 ukihusisha chama zaidi ya kimoja.
Mfufulizo wa uongozi tangu miaka hiyo mpaka sasa umekuwa ukielemea upande mmoja. Yaani hatujawahi kupata chama kingine katika madaraka zaidi ya CCM.
Lakini nafikiri endapo tungekuwa na utamaduni wa kubadilisha madaraka. Yaani chama kimoja kinapopoteza nguvu ya uongozi basi chama kingine kipewe ridhaa ya uongozi.
Kwa mfano, Marekani wana utamaduni huo wa kubadilisha madaraka na uongozi hasa kwa vyama vikuu yaani Democratic na Republic.
Kubadili uongozi imechochea ufanisi na kuleta mabadiliko na kusukuma maendeleo katika nchi hiyo.
Hivyo endapo na sisi tungeliangalia hili lingeleta tija. Sio kuegemea chama kimoja tu.