Tungekuwa na kina Mkinga mia CCM ingenyooka

Namsikia Mkinga radio one anazungumzia bajeti. huyu bwana ana data, sio mwoga na mpiganaji mzalendo. tungekuwepo na mikinga mia, ccm ingenyoka nadhani

Siyo CCM tu hata CHADEMA akina Slaa wangenyooka, wangeacha kuoa wake za wenzao na kuwapa mimba huku wakiwaita "mchumba".
 
Mkinga is one of the true son of this age,jamaa huyu ni kichwa,lakini kwa mfumo wetu ulivyo wa CCM,huyu ndi ADUI NAMBA MOJA.Watu aina hii UWA Mungu anaizadia NCHI wanakuwepo KUAWKUMBUSHA WATAWALA VICHWA MAJI,na zama na nyakati kuwa FANYA UFANYAYO LAKINI UKWELI UTADHIHILI TU.

Kama anavyosema yeye koleo ataita koleo na sio kijiko kikubwa,nyeusi ni nyeusi na wala haitakuwa tofauti na hivyo.Ulaya watu kama hawa Serikali INAWAKUMBATIA SANA MANAKE NDIO WATU WALIO GENUIENE na SIO FAKE kama tunavyo ona baadhi ya viongozi wetu walio wengi.

Manake ukiendesha Serikali na watu walio TO MUCH FAKE,utapotosha mambo mengi sana kuhusu MAISHA YA WATU WENU,NA MAISHA SIO MAIGIZO MAISHA NI DHIDI YA UKWELI.
 
Back
Top Bottom