Tungefaham ni pesa kias gan trump na kiduku wametengeneza kwenye ule ugomv wao,bas tusingekuaga tunashabikia drama zao

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Ntaongea kwa lugha nyepes kabisa

Hili swala la bwana kiduku na trump la kuudanganya ulimwengu,..pia hata urus na marekani au china namarekan kuendelea kudanganya ulimwengu kua wao ni rivals akat kiukwel na kiundan hakuna kitu kama hicho bali ni njia za kutengeneza pesa kupitia biashara ya silaha na mafuta sasa naona ni mbinu nzur sana ambayo hata sis as individuals tunaeza kua tunatumia njia hiz...

Baada ya uchaguz tuu,serikal ya marekan ilikua na upunguf mkubwa wa pesa,..kias kwamba ajira,biashara.mabank yalianza colapse,..nin ilikua hatma ya hvyo vyote,..well,...ni baada ya trump,kiduku,china na russia ambazo znategemeana kiuchum/kibiashara,yaan inapo colapse US bas hata china hal inakua mbaya na urus pia etc,..ilibid ichezwe move hii ya nuclear threat....mwisho wa siku Japan,south korea, ambazo ziko vzur sana kiuchum zkajikuta zikinunua silaha nzito nzito na pia silaha za kuzuia makombora kutoka marekan,..hapa US wakatengeneza billions of dollars kwa muda mfup,...na sasa uchum wa marekan unaimarika na trump anapata sifa,..na ghafla bwana kiduku katangaza kuonana na trump,hahahah

Hii move nmeipenda kwakwel,..itabid namii niwe naitumia mahala mahala fulan

Usikumwema waungwana.
 
We Jamaa Haujui Chochote, Tofauti Yangu Na Yako Mimi Sijui Lakini Nimekaa Kimya.
Useme sasa unachokijua wew,sio kusema sijui.haya,sema unachokijua wew,kama huna unachokijua bas huna wadhifa wa kusema mim sijui,umejuaje kama sijui akat we unasema hujui chochote,...jukwaa kinalokufaa ni MMU kijana hapa kichwa chako bado hakiwez kidh azma ya uelewa mkubwa
 
We mtoa mada hakuna unachojua ..unakaa tu unaota ndoto za mchana...ila ccm ndo mlivyo hivyo ...kuna mjomba wangu mmoja aliwai kuniambia kuwa eti Tundulissu nimwanachama wa ccm eti na Risasi alipigwa na chadema kuwa nimsaliti...sasa namtoa mada akili zako ziko ivyo.
 
Ningependa sana unifahamishe unachokijua wew mkuu tafadhali
 
We mtoa mada hakuna unachojua ..unakaa tu unaota ndoto za mchana...ila ccm ndo mlivyo hivyo ...kuna mjomba wangu mmoja aliwai kuniambia kuwa eti Tundulissu nimwanachama wa ccm eti na Risasi alipigwa na chadema kuwa nimsaliti...sasa namtoa mada akili zako ziko ivyo.
Halaf ccm wametokea wap hapa,..hiv mim nawew nan anaota ndoto ya mchana? Kuna mahal kokote nmejinasib kua mim ni ccm...hahah,nadhan ccm wamekushika pabaya mjomba,..watakua wameshika ta.ko laziiima.
 
Halaf ccm wametokea wap hapa,..hiv mim nawew nan anaota ndoto ya mchana? Kuna mahal kokote nmejinasib kua mim ni ccm...hahah,nadhan ccm wamekushika pabaya mjomba,..watakua wameshika ta.ko laziiima.
Unajuwa wewe habar za Tz uzijui sasa zamarekani utazijua vipi.
 
Bas sawa,nmeshajua nabishana na nan hapa,bas sawa kijana ...haya lala
 
Back
Top Bottom