Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

liwalo na liwe naona sawa tuu walivyomtwanga huyo daktari...
Liwalo na liwe mi ndo mke wa judgement wakaanga sumu polen
 
Waoow!
Hapa sikua nimepita ku'share mada, bali nilikua najizururia mtaa hadi mtaa!
Si ndo nakuta Mama ya Boma kan'tekenya ? Na mie nimetekenyekaje?tena tekenyo lenyewe la Bby Nasty ? RIWARO NA RIWE ninahakiki naandika wills nyumba yangu ya mbezi nammilikisha.
 
Hahaaaaaa liwalo na liwe mi ndo ze top tehtehteh laaziz mefurahiiii
 
hahaha hiyo side sijui tuipe jina gani jombaaa!

hiyo yawezwa kuitwa upande wa pili wa shilingi kumbe kama upnade mmoja ilikuwa kichwa cha Nyerere, upnde wa pili ni mwenge... ha ha ha! watu8, ulipotelea wapi wewe? au ulikula ban?
 
Last edited by a moderator:

hahaha,nipo nipo tu ndugu yangu kuna kipindi hapa kati nilijipiga ban mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa liwalo na liwe mi ndo ze top tehtehteh laaziz mefurahiiii

Ma'ofa mengine naogopa kuyadeclear humu nachelea watakuroga!
Na hasa muangalie sana BT, ndiye anaeongoza kikosi cha warogi wa Chitcht.
Ni mchawi mahiri huyu.
 
Haaha hun bana aaah liwalo na liwe babuu wee uchawi apeleke kwao sumbawanga huyo BT
 
'liwalo na liwe' alitamka yuleeeeeee mwenye sura ya makunyanzi mwenyeji wa mkoa wa wachawi kwa madr! na sasa limekuwa! ila hawatafaulu!
 
Back
Top Bottom