Tunga sentensi inayoanziwa na neno ni 'Ni Tanzania pekee...'

Barackachess

Senior Member
Sep 1, 2018
156
121
Habari,

Tungependa kujuzana vitu vya kipekee vinavyopatikana Tanzania. Tafadhari tunga sentesi inayo anzia na neno ni Tanzania pekee

Mimi ninaanza kwa kusema ni "NI TANZANIA PEKEE KUNA JAMII INAYOJULIKANA KWA JINA LA WASIOJULIKANA"

Ni Tanzania pekee tuna mlima mrefu kuliko yote barani africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Tanzania pekee mtu alietenda kosa kipindi ana miaka 14 anahukumiwa kufungwa maisha, wakati aliefyatulia mwanafunzi risasi yupo uraiani...
 
Ni Tanzania pekee!
149738.jpeg
 
Back
Top Bottom