Tune Kiss FM muda huu kuna dada alikuwa mchawi anajieleza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tune Kiss FM muda huu kuna dada alikuwa mchawi anajieleza.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Nov 26, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,478
  Likes Received: 9,892
  Trophy Points: 280
  Jamani huyu mdada anaelezea jinsi wanavyo wachukua watu na kuwafanya misukule, na anaeleza jinsi wanavyo roga na kutesa watu
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,277
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Weka muda mkuu mbona kuna mikito 2
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,478
  Likes Received: 9,892
  Trophy Points: 280
  Kiss FM kuanzia saa tano na robo asubuhi ya leo, hadi sasa show inaendelea, sasa watu wanauliza maswali
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  unaweza kuipata toka mwanzo ilivyoanza ukatuwekea hapa......maana ndo tushaichelewa hiyo.....
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,478
  Likes Received: 9,892
  Trophy Points: 280
  mwenzio sayansi hizo za kukopi andi pesti sizijui. Ngoja nitafute link yao yenye live string niiweke hewani
   
 6. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 594
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Acheni imani potofu, mpaka leo bado kuna watu wana amani vitu kama hivi, wenzenu wanahangaika kutafuta dawa za magonjwa sugu nyie bado mnawaza uchawi. shule bado sana kwa wengi
   
 7. p

  pansophy JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kutokuamini haimaanishi haupo. Bujibuji fanya msaada wahiyo link
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,354
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  mkuu pamoja hata mimi nashangaa.... huyo dada angekuwa nchi za watu angepelekwa hospitali sababu ni 100% psychic patient ..


   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Huyo dada mzandikizi anatafuta umaarufu tu
   
Loading...