Tunduru: Madiwani 9 wa CUF wa kata 8 za Wilayani Tunduru Wajiuzulu na kujiunga CCM

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Madiwani 9 wa kata 8 za wilayani Tunduru pamoja na kada maarufu SAID MOHAMED KIOSA wameachana na Chama Cha Wananchi CUF na kujiunga na CCM asubuhi hii.

Madiwani hao wote 8 na mmoja wa viti maalum wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ambaye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Tunduru amethibitisha taarifa hizo.

Madiwani walioondoka CCM na kujiunga upinzani ni pamoja na;

1. Kata ya Majengo - (Abdallah Rajab Abdalla)
2. Kata ya Nakapanya - (Kubodola Idrisa Ambali)
3. Kata ya Nalasi Magharibi - (Kabango Sandali)
4. Kata ya Ligunga - (Ajola Hassani Ali)
5. Kata ya Ngapa - (Said Ali Pindu)
6. Kata ya Nandembo - (Huseni Zuberi Maganga)
7. Kata ya Tinginya - (Ali Asa Mohamed)
8. Mlingoti Mashariki - (Aloyce Pirimini Nyoni)
9. Diwani wa Viti Maalum - (Zainab Said Mussa)
10. Kada Muasisi wa CUF - (Said Mohamed Mzee Kiosa.)

Wakizungumza mbele ya Mwenyekiti wa CCM wa mkoa, madiwani hao wamesema kuwa wamefanya uamuzi huo kwa sababu wanahitaji chama imara kitakachowasaidia kutumikia wananchi kwa utulivu na mienendo inayooeleweka.

Madiwani hao wamefanya maamuzi hayo ikiwa ni miezi michache toka Chama cha Wananchi CUF kigawanyike na baadhi ya makada maarufu kuhamia ACT na CCM.

Mwaka 2015 CUF ilipata madiwani wa kichaguliwa takribani 16 wilayani Tunduru. Baada ya hatua za madiwani hawa 8, CUF imebakia na madiwani takribani 3 wilayani humo.

Idd Mohamed,
Tunduru,
Jmosi, 16 Mei 2020.
IMG-20200516-WA0024.jpg
IMG-20200516-WA0025.jpg

Kwahiyo hao madiwani wameona bora tubaki na chama kimoja cha CCM bila kujua vita ya Dunia itahamia CCM, Imagine, Wakati viwanda vinashindana kutoa bidhaa, Nchi hii bado haijui kuwa watu wengi kurudi ccm ni kuonyesha kuwa uoga hauwezi leta mabadiliko.
 
Yaani wanasubiri muda wao umeisha ndiyo wanajidai kujiuzuru
Madiwani 8 wa kata 8 za wilayani Tunduru pamona na kada maarufu KIOSA KIOSA wameachana na Chama Cha Wananchi CUF na kujiunga na CCM asubuhi hii.

Madiwani hao wote 8 wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ambaye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Tunduru amethibitisha taarifa hizo.

Madiwani hao wanatokea kata za Majengo, Nalasi Magharibi, Nandembo, Mlingoti Mashariki, Ligunga, Tinginya na Nakapanya.

Wakizungumza mbele ya Mwenyekiti wa CCM wa mkoa, madiwani hao wamesema kuwa wamefanya uamuzi huo kwa sababu wanahitaji chama imara kitakachowasaidia kutumikia wananchi kwa utulivu na mienendo inayooeleweka.

Madiwani hao wamefanya maamuzi hayo ikiwa ni miezi michache toka Chama cha Wananchi CUF kigawanyike na baadhi ya makada maarufu kuhamia ACT na CCM.

Idd Mohamed,
Tunduru,
Jmosi, 16 Mei 2020.
View attachment 1451619View attachment 1451620
View attachment 1451621

In God we Trust
 
Madiwani 8 wa kata 8 za wilayani Tunduru pamona na kada maarufu KIOSA KIOSA wameachana na Chama Cha Wananchi CUF na kujiunga na CCM asubuhi hii.

Madiwani hao wote 8 na mmoja wa Viti maalum wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya.

HII INATUSAIDIAJE KUPAMBANA NA CORONA NA UMASKINI?
 
HAPO WATAENDELEA KUFAID MSHAHARA BILA SHIDA YOYOTE. WATATAMBULIKA BADO NI MADIWANI HALALI WA CUF. NI USANII TU HAPO, HAWAJAHAMA CHAMA HAO. KWANI MWAMBE ALIHAMA CHADEMA?
 
Back
Top Bottom