tunduma pachafuka

kauzu pipo

Member
Nov 5, 2010
20
0
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Dah!ila huwezijua labda na 2015 wazambia nao watashndwa kulala maana mass awakening imekuwa kote sasa na dawa yake imekuwa mabomu!
 
Hata mm nimesikia wapo radio, Mpinzani wa kule michael sata anaongoza kwa kura nyingi ndo wananchi wanataka tume itangaze matokeo wakati huo huo tume inadai kuna watu wameingilia mtandao wao wa kumputa wa kuhesabia kura, Hawa hawana tofauti na ccm
 
Nimeangalia tv ya zambia hata michael satta mpinzani anaongoza ana kura 988900 na wa chama cha mmd mtawala anakura 800691 hapo kuna tofauti yakura laki2,napia kuna nduguyangu alikua anasafiri kesho toka dar to lubumbashi kwa bus la taqwa wamezuia wasiingie zambia mpk baada ya siku3 kwahali ilivyo hao mmd watachakachua wataiba watamtangaza mgombea wa chama tawala,lakin hao mmd ni wapinzani waliochukua madaraka kwa kumtoa kaunda, sasa wanaiba kura wajitangaze kwanguvu jehapa kwetu tz mpinzani akishinda atakubali kutoka madarakani?
 
Don't justify by inference, kwanini usimzungumzie aliyepo madarakani.
 
chiluba alipochukua madaraka kwa kumtoa kaunda dunia nzima ilishangilia nandie aliekua ktk wapinzani wamwanzomwanzo africa kungoa mbuyu kama kaunda ila matokeo yake wazambia na majirani zao walilia mpk chiluba anakufa alikua nakesi za ufisadi,pia leo mmd haitaki kutoka madarakani inachakachua kama ccm hapa tzania,je cdm au cuf au nccr au sau tukiwapa madaraka nawao siwang'ang'ania?ukionja nyama ya binadamu huachi uchawi asilani.
 
Hata mm nimesikia wapo radio, Mpinzani wa kule michael sata anaongoza kwa kura nyingi ndo wananchi wanataka tume itangaze matokeo wakati huo huo tume inadai kuna watu wameingilia mtandao wao wa kumputa wa kuhesabia kura, Hawa hawana tofauti na ccm

in red...
cku zote machafuko husababishwa na chama tawala, wanapogoma kukabidhi madaraka kwa chama pinzani kilichoshinda uchaguzi...
 
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

jana nakonde zb maduka yalifungwa saa4 wafuas wa sataa walipo anzisha valangati walianza kuchoma mataili balabalani nakutaka kuchoma masoko ndipo maasikali wakaanza kulipua mabomu ya machozi watanzania wengi wanamaduka soko la bulaki upande wa zambia wameathilika sana wengine walianza kuhamisha biza zao kwakuhofia kuchomewa shilika la umeme zesiko walikata umeme kwakuhofia hasala ingekuwa kubwa wakifanikisha kuchoma moto maduka kwaleo kupo swali chanzo cha vulugu nikuchelewesha kutangaza matokeo sata kaibuka mshindi watu wanashelekea biashala wamefunguwa kamakawaida kwaleo ccm ijifunza kwawenzetu wazambia
 
Jama aliye weka hiyo mada alikosa talifa sahihi au alipewa na watu tu au ni maneno tu mbn si huku tunduma jana kutwa maduka yalikuwa wazi na tumefanya kazi kwa aman na tumelala kama kawaida hakuna machafuko.mi nandika toka tunduma
 
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

jana kutwa tumefanya kazi kwa amani na tumelala kwa amani hakuna machafuko yoyote japo mida ya mchana jana kulikuwa na vulugu ila amani ipo na ilikuwepo.sema umepewa talifa ambayo nae mtoaji amesikia maneno ya vijiweni.mi ni mkazi wa tunduma
 
Back
Top Bottom