Tunduma: Mtoto wa diwani na house girl wakutwa wamechinjwa

Keneth

Senior Member
Sep 29, 2011
195
195
Mtoto wa diwani wa CCM amekutwa amechinjwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kwa mke mdogo mida ya saa nane mchana jana , huku house girl wake akiwa amenyongwa na waya.

Diwani aitwaye Simwilu huyo anayeishi Tunduma lakini akiongoza kata ya Nkangamo nje kidogo ya mji wa Tunduma alisema kuwa hakuwa nyumbani lakini baada ya mkewe kurudi nyumbani alikuta mtoto wake kapigwa kisu na kuachwa nyumbani kwake.

POLE SAANA DIWANI WA CCM.

Nimempenda diwani wa CHADEMA kwa kuwataka polisi kufanya uchunguzi haraka ili kiuwakamata wahusika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom