Tunduma: Mbunge Frank Mwakajoka akamatwa kwa amri ya mkuu wa wilaya

Wananchi watakapochoshwa na uonevu huu unaoendelea, kuna uwezekano wa kutokea machafuko makubwa zaidi ya yale mauaji ya kimbari yaliyotokea kule Rwanda mwaka 1994 (Mwenyezi Mungu aepushie mbali)
Nina shaka sana na asili ya uraia wa mfalme wetu . . , ni rahisi sana kwa watanzania kutawaliwa na wageni...!
 
Kosa lake ni kupiga picha tu? kuna mambo nyuma ya pazia ambayo hayajajulikana
 
Ni mkakati wa kuua upinzani nchini, tunarudi kwenye chama kimoja kabla ya 2020 kama hatua stahiki hazitachukuliwa mapema.
 
Kwa akili zako finyu unaona ni sahihi kwa watu wasio madiwani kuhudhuria kikao cha madiwani, walikwisha jitoa Chadema sasa wanawakilisha chama gani.
Katiba inanyewa na ccm..., wananchi kimyaaaa.., Katiba inakojolewa na ccm..., Polisi wanakimbizana na kuua raia wasiokua na hatia...
Katiba ina najisiwa..., Mkapa, Mwinyi..., Kikwete..., Masheihk..., wako kimyaaaa......

Majuto ni mjukuu...!
 
Acha upumbavu..., CHADEMA sio Polisi wala jeshi..., ni chama cha siasa kama kilivyo ccm..

Tofauti ni kwamba.., ccm ni chama chenye Bunge, Polisi, Wakuu wote wa vyombo vya uzinzi..., ooh..., sorry.., ulinzi na usalama.., Tume ya Uchaguzi..
Sasa CDM haina mbavu za kukutetea..., ni wajibu wa kila mtanzania sasa kuamka na kupigania Katiba mpya..., kupigania Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa vyombo vya habari, na Elimu bora..
Nimeshaacha upumbavu mkuu, tukutane Revolution Day....................
 
Bila kuwa na katiba mpya.hakuna hata haja ya kuwa Na uchaguzi wa marudio hata huo wa 2020.ni kupoteza pesa bure
 
Ayaa! kwani huyo mkuu wa wilaya do kapigwa picha?au anajua kuna kosa kafanya hivyo ataumbuka domaana anafanya hivyo.Hafu watu wameshajiuzuru kwa elimu yakawaida wanashiriki vipi vikao? kwatiketi yachama gani? kweli maajabu
 
Kuandika 'mbunge wa Chadema' wakati ni mbunge wa Tunduma pia ni kosa la msingi. Ndugu zetu mlifikiri siasa ni maagizo.
 
Magufuli inchi imemshinda.

Kungekuwa Kuna miradi mikubwa mikubwa ya maendeleo hawa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasingepata muda wa kufanya huo u.pumbavu.
 
Back
Top Bottom