Tunduma: Mbunge Frank Mwakajoka akamatwa kwa amri ya mkuu wa wilaya

Niacheni niinyooshe nchi mie!!! Tangu lini mtu sliyeshindwa kuinyoosha familia yake akaweza kuinyoosha nchi!? Wangemsikiliza yule Mama hili janga kubwa na jinamizi nchini tungeweza kabisa kuliepuka.

Huu ndiyo utawala unaotaka kujenga viwanda
 




Ni upumbavu kabisa kwa sbb ukisha jiuzuru nafasi yako ya udiwani unakuwa raia wa kawaida, sasa utawezaje kushiriki kikao cha bajeti wakati wewe si diwani!!? Basi kama ni hivyo wangeshiriki wananchi wote wa kata hizo ktk bajei kwa sbb hawana wawakilishi tena.
 
Nchi yetu sasa Mkuu inongoza duniani kwa kuwa na Wapumbavu wengi kuliko Nchi yoyote ile duniani. Na hawa wapumbavu ni mtaji mkubwa sana kwa chama cha wahuni, wezi, mafisadi, wauaji na manyang’au.

Kwa akili zako finyu unaona ni sahihi kwa watu wasio madiwani kuhudhuria kikao cha madiwani, walikwisha jitoa Chadema sasa wanawakilisha chama gani.
 
Uelewa wako mdogo, hao watatu walikuwa madiwani sasa si madiwani hivyo hawaruhusiwi kuhudhuria kikao chotechote.
Akili mbovu sana wewe.. Nimemfahamisha ambaye ameuliza swali, sijazungumzia suala la uhalali au uharamu kikao. Acheni kukimbilia kuchangia kabla ya lisearch ilikuwaje
 
Sasa kupiga picha ndio kukamatwa kwa kosa lipi.. embu atufafanulie huyo DC tujue.
 
Kawapiga picha madiwani waliojiunga na CCM kisha kusambaza kwenye mitandao na kuhamasisha siasa chafu
Kwa unafiki huu sahau kuiona pepo, hao madiwani wamehama chama sasa wanaingiaje kwenye vikao vya halmashauri wakati walishajivua uanachama au umerogwa ?
 
Najua ni tatizo ambalo linatucost wote lakini ulitegemea nani atutetee? Hao watesi ndio watutetee? Chadema wangekuwa imara wangeweza kuongoza kutututea na wengi tuliwaamini kama watetezi wa wanyonge sasa wao wamekua wanyonge wenzetu,
Acha upumbavu..., CHADEMA sio Polisi wala jeshi..., ni chama cha siasa kama kilivyo ccm..

Tofauti ni kwamba.., ccm ni chama chenye Bunge, Polisi, Wakuu wote wa vyombo vya uzinzi..., ooh..., sorry.., ulinzi na usalama.., Tume ya Uchaguzi..
Sasa CDM haina mbavu za kukutetea..., ni wajibu wa kila mtanzania sasa kuamka na kupigania Katiba mpya..., kupigania Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa vyombo vya habari, na Elimu bora..
 
Back
Top Bottom