Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

Majimbo yotee aliyosema

Hawez leta maendeleo kwa sababu wamechagua mpinzani ilihali Anasema maendeleo hayana Chama ameshayakosa yotee

Apo tu ndo uwa anachanganya Mada
Muwe na vichwa vyakuelewa. Kila chama kina ilani na sera zake. Huwezi chagua Rais CCM af mbunge upinzani af ukategemea hawa wawili wanaweza kushirikiana.
Inakuwa ngumu kushirikiana sababu huyu anatakamaendeleo ya vitu, na wale wanataka maendeleo ya watu. Hizi ni sera mbili tofauti.
Ndio maana Rais Magufuli anaomba achaguliwe wa Chama chake ili waweze kuisimamia ilani ya ccm kwa umoja na ushirikiano wa karibu.
 
Back
Top Bottom