Tunduma: Ally Mwafongo na wenzake 57 watimiza siku 143 Gerezani

kwahiyo tukusaidie nini mkuu
Utusaidie kuleta uzi wa kumtukuza na kumsujudia mungu mtu jiwe mtakatifu wa watakatifu mwenye mamlaka yote mikononi mwake aliyeiumba hii nchi na kila kilichomo ndani yake. Fanya hivyo tafadhali kama mmoja wa viumbe wa jiwe kuonesha utukufu wa bwana wako.
 
Watu wegine wanafikiri kwa kutumia tumbo hivi unaweza kumtetea muuaji , hivi angekuwa mwanao au ndugu yako ungekuwa upande gani, wacha sheri iamue muuaji au sio muuaji.
 
Watu wegine wanafikiri kwa kutumia tumbo hivi unaweza kumtetea muuaji , hivi angekuwa mwanao au ndugu yako ungekuwa upande gani, wacha sheri iamue muuaji au sio muuaji.
unaweza kuthibitisha kama hawa ndio wauaji ?
 
Siasa bana,wengine wanaozea jela,kina Maalim wanapigiwa salute tu......kina mdee wanaenda bungeni......wale wajuaji wa mitandaoni na mitaani wapo huko mahabusu.

Vijana tumieni akili zenu vizuri msikubali kutumiwa kama ngozi na wanasiasa
 
Siasa ni maisha yako , sasa ukidhani kuna atakayekupigania umepotoka .
 
Hakuna aliyesema ni kosa,ila vijana wengi wanatumika bila wao kujua,na wanaowatumia wanawakimbia wakiona wamenaswa
Usikariri kama kasuku , hawa waliokamatwa Tunduma na kupewa kesi ya uongo ni viongozi wa Chadema , wagombea na viongozi wa Chama wa jimbo , hawa si vijana wa mitaani kama unavyodhani , labda useme sasa kwamba kusiwe na vyama vya siasa kabisa nchini mwenu ili tumuabudu na kumsujudia mtu mmoja
 
View attachment 1653402

Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi .

Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .

Leo kuna watu nchi hii wanataka tufanye maridhiano na watu wenye roho za kishetani namna hii , hili jambo haliwezekani hata kwa mtutu wa bunduki .

Mungu ibariki Chadema
Ni pale kusema,kuku ni wakwako na unafahamu kuwa ni mmiliki halali,bado unakosa kujiamini kiasi cha kumuua kuku wako mwenyewe kwa manati,je katika mazingira haha ukiitwa mwizi wa kuku,ilhali ni wako yupo wa kumlaumu.
 
Usikariri kama kasuku , hawa waliokamatwa Tunduma na kupewa kesi ya uongo ni viongozi wa Chadema , wagombea na viongozi wa Chama wa jimbo , hawa si vijana wa mitaani kama unavyodhani , labda useme sasa kwamba kusiwe na vyama vya siasa kabisa nchini mwenu ili tumuabudu na kumsujudia mtu mmoja
Bahati nzuri mazingira ya mkoa mpya wa Songwe na Tunduma siyo mgeni.....kwahiyo ninachokwambia nakifahamu kiasi fulani.......chamsingi note tu kwamba vijana tusifuate bendera tu kama mazezeta........wanasiasa wanatutumia sana kama ngazi......
 
Back
Top Bottom