Tundu Lisu, Tanzania tukitaifisha mitambo ya Dowans, deni lao benki itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu, Tanzania tukitaifisha mitambo ya Dowans, deni lao benki itakuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watanzania, Feb 23, 2011.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tundu Lisu anapendekeza katika gazeti la mwanahalisi la leo kuwa Tanzania itaifishe mitambo ya Dowans. Wazo hili lilikuwa zuri hapo kabla. Lakini sasa kuna habari kuwa Dowans wanadaiwa shilingi bilioni 98 na benki ya Barclays na Stanbic ambapo mitambo yao iliwekwa kama dhamana ya kukopa. Katika mazingira haya, tukiitaifisha mitambo, deni hilo halitahamia kwetu watanzania? Kama wameshamaliza kulipa deni la benki kutaifisha ni wazo zuri lakini kama wanadaiwa ninawasiwasi itakuwa imekula kwetu watanzania. Tujiridhishe kwanza kuhusu deni hilo la Dowans la benki kabla ya kutekeleza wazo la kutaifisha. Nadhani tununue mitambo yetu ya kuzalisha umeme na pia tusiwalipe hawa matapeli.
   
Loading...