Tundu Lisu, Mchungaji Msigwa na Godbless lema out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu, Mchungaji Msigwa na Godbless lema out

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtoto wa mfugaj, Jul 28, 2011.

 1. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baada ya wabunge wa3 wa cdm kutolewa nje baada ya kuongea bila kuruhusiwa nasubiri kwa hamu kuona kama hatua hii itachukuliwa endapo wabunge wa ccm watafanya kosa hilo.ni vyema swala hili la kuzungumza bila ruhusa likomeshwe maana bunge ni chombo muhimu kinachoongozwa na kanuni,tuziheshimu kanuni hizi na tuzitumie kuwasilisha matatizo ya wananchi.inawezekana kuongea na kufikisha hoja na malalamiko bila kuvunja kanuni.wenyeviti wa bunge na maspika wawe fair tutafika tu.pamoja tunajenga taifa.
   
 2. S

  Smafuru Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  hawa jamaa walivumilia sana baada ya kuonewa sana,kunyanyaswa sana na kutotendewa sana haki
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Cha kushangaza ni kwamba huu uataratibu unatumika tu kwa wabunge wa chama cha upinzani!!
   
 4. G

  Given Msomba New Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunachoshukuru, sisi wananchi tuona yote yanayoendelea, pamoja na kuwatoa hao wabunge ukweli tunaujua, haya maonezi kwa wapinzani yataenedela mpaka lini?????????
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa mfano, baada hicho kinachoitwa kulihutubia bunge kulikofanywa na waziri lukuvi kinyume cha sheria kama anavyosema Lissu kumetokea mabadiliko gani ambayo Lissu alishindwa kuvumilia kusubiri amalize? Hivi tunapo taka kuwapa ushujaa si vyema pia tukajua walichokuwa wanakitetea? Kwa kuwa waziri alimaliza hiyo hotuba yake sasa Lissu na nyie mnaompongeza kwa nini msifanye kama Wenje kutueleza athari za ile hotuba?
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Usishangae maana hata Polisi wakiona mbunge wa upinzani kakusanya watu zaidi ya saa 12 anakamatwa hapohapo, ila mbunge wa CCM hata akiwa na tuhuma za mauaji au biashara haramu au lolote, Polisi wanaomba kibali toka ofisi ya Spika ili watimize wajibu wao. Hiyo ndio Tanzania.
   
 7. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naona uzoefu uwe fundisho kwa wapinzani hivyo kubadili mbinu ya kuwasilisha malalamiko yao,huenda kwa kufanya hivyo mambo yatabadilika,maana ccm na serikali yake imeonesha waziwazi kua na upendeleo na kuzima kila jitihada inayofanywa na wapinzani,wahenga walisema ukitaka kula na kipofu usimshike mkono.pamoja tunalijenga taifa.
   
Loading...