jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Nashangaa sana na kimya cha Tundu lissu kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za maliasili zetu ambayo kwa sasa wadau mbalimbali wamealikwa kutolea mapendekezo yao.
Lissu yupo active sana kwenye kukosoa au kutoa maoni kuhusu sheria..mpaka muda huu sijaona waraka wake na najiuliza maswali mengi.
Je lissu anategea tukosee?
Je lissu anasubiri maelekezo kutoka acacia?
Je lissu amekosa hoja ya kupendekeza?
Je lissu anamuogopa mwalimu wake?
Je lissu anadhihirisha uanasiasa wake wa kutubugudhi kwa kelele?
Hii ni fursa kwa kila mdau kupendekeza ni kipi hasa kinahitajika kwenye sheria ili tukomeshe wizi.
Baada ya hapa tusisikie kelele za mtaani.
Naamini hili linalofanywa na serikali halikuwahi kufanyika hivyo ni fursa adhimu ambayo tunaweza tusiipate kwa miaka mingi ijayo.