Tundu Lisu chunga sana utakapoenda Ikulu na makamanda wenzio

Lisu kwa upande nae anapaswa kuacha jazba na kuropokaropoka yeye kama mwanasheria lazima ajitahdi kuwa na lugha za kistaarabu na za kidiplomasia zaidi na sio jazba za hovyo zinamshusha hadhi yake, asiwe kama akina Lema [mbumbumbu]wa Arusha anayewaza vurugu kila kukicha.
tatizo hapa kuna watu wapo tayari kuliwa mpaka kucha, ndio maana mnatusisitiza tuendelee kunyenyekea haki zetu, kwa kuwa TL na Lema hawaombi bali wanadai wewe unadhani wanapayuka, They are making necessary noise
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Daaaa!!!!!mmenitisha sana nahisi kabla ya kwenda huko wakubali wafanyiwe maombi wazungushiwe damu ya Yesu ambayo ni kinga kuu ya uovu wowote.hata wakila sumu haita wadhuru.Mungu awatangulie.
 
Hilo neno mkuu, pia Usalama wa Taifa CHADEMA wachukue nafasi yao kwa makini kuliko kipindi chochote kile
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tundu Lissu naye pia anakwenda IKULU ?? maana majina niliona ya watu wanne na sidhani kama jina lake lilikuwepo
ingawa binafsi ningelipenda awepo ili aweze kusema na waziri wa katiba mama kombani ambaye naamini atakuwepo ikulu kwenye mjadala mzima wa swala la katiba. na hoja yangu ya kuwepo kwa Tundu Lissu ni kwa kuwa yeye ndiye alikuwepo kwy kamati kwahiyo anafahamu nini kilikuwa kinaendelea kwenye kamati mpaka kuingia bungeni. kwahiyo ni lazima Tundu Lissu awepo. naomba kujua kama naye allijumuishwa n=baadaye kwenye kamati inayokwenda ikulu??
 
Hakuna atakaewekewa sumu kuweni na amani.

Una uhakika gani kuwa hawatawekewa? Katik zama hizi ni bora kuwa makini kuliko kujilegeza na kufa kizembe.
Sina imani kabisa na serikali ya JK inaweza kuwapuliza ili wapotelee mbali kitambo kidogo.
Ushauri.
1.0 Kila mmoja ahakikishe ana leso yake mwenyewe.
2.0 Ikibidi hata maji wawe nayo ya kwao
3.0 Chakula kama kula wajichanganye na wanausalama watakaokuwepo kwenye hafla hiyo.
Mengine ni kutumia akili kulingana na mazingira yatavyokuwa.
 
Tundu Lissu naye pia anakwenda IKULU ?? maana majina niliona ya watu wanne na sidhani kama jina lake lilikuwepo
ingawa binafsi ningelipenda awepo ili aweze kusema na waziri wa katiba mama kombani ambaye naamini atakuwepo ikulu kwenye mjadala mzima wa swala la katiba. na hoja yangu ya kuwepo kwa Tundu Lissu ni kwa kuwa yeye ndiye alikuwepo kwy kamati kwahiyo anafahamu nini kilikuwa kinaendelea kwenye kamati mpaka kuingia bungeni. kwahiyo ni lazima Tundu Lissu awepo. naomba kujua kama naye allijumuishwa n=baadaye kwenye kamati inayokwenda ikulu??

yupo kwenye kamati inayokwenda ikulu.
 
kaka kamati ni hii hapa Mbowe, Dr.Slaa, Prof.Abdalla Safari, Prof. Beregu, Said Arfi, Said Issa na Tundu Lissu mwenyewe, hawezi kuwekwa kando coz ni shuhuda no.1 ktk mchakato uliojaa usanii
 
plz TL usim-face Baba RiZ machoni..kuna watu naturally wana evil eye,aliwahi kuwepo papa (kiongozi wa wakatoliki)mwenye macho ya hivyo. Utafiti wangu unanionyesha huyu jamaa ni miongoni...akikuangalia tu nguvu zote zinaisha. Jiulize mikutano yake dhidi ya wabaya wake inaishaje...ukimuangalia tu akakuchekea makali yako yote kwisha
 
Tundu Lisu kama jembe linaloumiza vichwa vya watetezi wa Magamba, hasa JK, Anne Makinda,Job Ndugai, Celina Kombani, AG, Kashililah, Wazanzibari (baada ya kupewa ukweli kuhusu ushiriki wao kwenye mchakato wa katiba). Ushahidi upo jinsi watu hawa wanavyomchukia TL waziwazi. JK alisema wazi kwnye kampeni, ni bora kuchagua Dr.Slaa kuwa rais kuliko TL kuwa mbunge. PAMOJA NA KUMUOMBEA KILA LA KHERI KTK KUSIMAMIA HAKI, AKUMBUKE PIA YALIYOMKUTA MWAKYEMBE, nikiwa na maana sio kurudi nyuma bali kuwa makini kila hatua anayopiga.
mkuu usihofu...Lisu ameshawaki kulala hata rumande..kwa hiyo anajua anchofanya!
 
Daaaa!!!!!mmenitisha sana nahisi kabla ya kwenda huko wakubali wafanyiwe maombi wazungushiwe damu ya Yesu ambayo ni kinga kuu ya uovu wowote.hata wakila sumu haita wadhuru.Mungu awatangulie.
mkuu kwani wanakwenda kula chai au chakula cha mchana?...chakula chao ni katiba tu pale ikulu..!
 
mkuu kwani wanakwenda kula chai au chakula cha mchana?...chakula chao ni katiba tu pale ikulu..!
daaah, ni kweli mkuu. wale co wazee wa dsm(tuokutana nao kanga moko laki si pesa ) walioendea misosi, au kina Mrema wanaodandia treni wasilojua linapokwenda
 
Kamati ndogo ya cdm inayokwenda kuonana la lirais ni marufuku kula wala kunywa chochote ikulu kuna sumu huko plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!

povu lakutoka, kutamani chakula angalia umeona chakula nenda kale nao huko ikulu umekuwa nani mpaka uwashauri wasile. Unajua kilicho wapeleka kule huohuo msosi wa ikulu kama niugali wale na rais
 
Mi nilipata sana hofu Lissu kutumia mic yake peke yake kwenye ule mdahalo aliomgalagaza Mnyaa wa CCM-B. Plz kuwa makini Lissu magamba watasheherekea sana wakikuondoa, na watz tutalia sana. Ujue.
 
Lisu kwa upande nae anapaswa kuacha jazba na kuropokaropoka yeye kama mwanasheria lazima ajitahdi kuwa na lugha za kistaarabu na za kidiplomasia zaidi na sio jazba za hovyo zinamshusha hadhi yake, asiwe kama akina Lema [mbumbumbu]wa Arusha anayewaza vurugu kila kukicha.

Mkuu unaweza kutujuza, ni lini Lissu aliongea kwa jazba?
Ni lini aliropokaropoka (achilia mbali kuropoka)?

Ukishindwa kuthibitisha, basi nitaanza kukuhesabu wewe kuwa mtu wa kuandika-andika na kukurupuka.
 
wakifika ikulu pale ..wae watu watakaowapokea pale nje na kuwaeleka sehemu ya mazungumzo wahakikishe hawashikani nao mikoni wakati wanasalimiana.....na wahakikishe hawagusani wakiwa wanaelekea ndani.....kule ndani kama kutakuwa na viti vimepangwa nikiimaanisha slaa kaaa hapa,lissu kaa hapa lisu kaa hapa....nawashauri wagome kukaa.....kama kutakuwa na chakula , na maji wasinywe wala kugusa...kama kutakuwa na vitambaa vya kujifutia wasiviguse,...wahakikishe simu zao zinakuwa mifukoni katu wasiziweke juu ya meza wakati wa maongezi......

nawambia hivi maana fitna za kikwete nazijua...ikulu ya kikwete ni wauwaji wakubwa ....
 
Back
Top Bottom