Tundu Lisu amtaka Spika Ndugai aache Unafiki kwa lengo la kutaka kuonekana mwema machoni mwa jamii

Siku nyingi hoja za wapinzani zilikataliwa, leo hii jamaa ndo wanaziona deal, ingekuwa ni mtihani si ccm wote wangekuwa bashite?
 
Hivi ni kweli kwamba JPM aliwapiga mkwara wale wabunge wote wa CCM waliokuwa wamepanga kwenda kumuona Lema gerezani? ni kweli kwamba alimwambia yule mzee mzima Bulemb kwamba amkanye mwanae tabia yake ya kumpelekea udaku mchepuko wake ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa?
 
I can understand hon. Ndugai-he is acting like a typical man. A man would fight a lady in the morning and demand sex in the evening:p.
 
Ila naye Ndungai angewapekelea watoto yatima huo msosi aise, hawa walioalikwa hawana njaaa, fanya mchezo na 300,000/= kila kikao!
What a waste...
 
Tundu Lissu upo sawa unanikumbusha kisa cha P w Botha kumualika Mandela kula nae chakula ili wajadili tofauti zao Mandela aligoma bora abaki huko jela Robben island ila alimpa sharti awatoe wafungwa wote wa kisiasa jela ndio aende akanywe hiyo wine yake huku wakimaliza tofauti zao...
 
Kwanza si walimbagua Lema hao asiende kuonwa GEREZANI na wakawaambia green party wasishirikiane na wapinzani?
 
Back
Top Bottom