Tundu Lissu, Zitto, Kafulila tafuteni sahihi za kumng'oa Pinda ndio njia pekee iliyobaki

Idofi

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
1,998
2,000
Imeonekana dhahiri CCm wanatumia kila aida ya mbinu kuwalinda wezi, hivyo njia pekee ni kumn'oa pinda ili wezi wawajibike, tunawaomba sana tundu lisu, zito, kafulila, deo filikunjombe tafuteni saini za wabunge wazalendo ili kumn'oa pinda kwa kuwa ameshindwa kuwawajibisha wezi
 

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
225
Hi issue ya escrow imepelekwa kisiasa siasa, kwa hyo ule utaifa umeshapotezwaaaa
 

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Uchawi wa kijana wa kutoka kigoma umeisha atumie mbinu zingine hatudanganywi tena nendeni zenu na siasa zenu uchwara.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom